tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  2. Una tabia gani za kizee?

    Salaam Wadau? Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako. Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani...
  3. Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  4. Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

    Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda. Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana. wamechoma bus la saibaba huko tanga. Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
  5. Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?
  6. Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa. Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo. Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo. Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo. Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
  7. TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

    Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo? Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
  8. Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa. Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
  9. M

    Mbinu za kuishi na watu wenye tabia ngumu makazini

    Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao , ni kweli wapo watu wana tabia ambazo ni ngumu kuvumilikika kiasi cha kufanya wengine wakose amani...
  10. Rais Mwinyi achukizwa na tabia ya viongozi kujiuzulu kimya kimya

    Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Kiongozi akitaka kujiuzulu anapaswa kumpa taarifa Boss wake kwanza badala ya kukurupuka kwenda kutangaza kwenye Vyombo vya Habari huku akitoboa siri kuwa hata yeye akiwa Waziri wa Ulinzi aliwahi kumwandikia barua ya kujiuzulu Rais Mstaafu Kikwete...
  11. Tabia ya kubagua kazi ni kwa sababu ya kutokujua hili

    Mwanadamu umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Baadhi ya sifa za Mungu ni kufanya kazi. Tena kwa ufanisi na ubora, huu uwezo kila mtu ameumbwa nao maana kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Watu wengi wanabagua kazi, na wengine kufanya kazi kwa uvivu bila morali ni kwa sababu wanafikiri dhumuni la...
  12. Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

    Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda. Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha. Ukizidisha...
  13. R

    Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana. TABIA za ukosefu...
  14. T

    Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

    Habari wanajamvi? Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi. Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana. Kuna mama alikuwa anadai...
  15. F

    Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
  16. Mwenezi Makonda amuagiza Meya na Mkurugenzi Halmshauri ya Pangani kuhakikisha kituo cha afya cha mwenbeni kinajengwa - Pangani

    Karibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amewataka Mwenyekiti wa Halmashauri kushirikiana na Mkurugenzi kuhakikisha Kituo cha Afya cha Mwembeni kinajengwa na kuanza kutoa huduma kwa Wananchi ndani ya Mwaka huu wa 2024. Mwenezi...
  17. Z

    Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
  18. S

    Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana, Wachezaji wenyewe ndio...
  19. AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  20. KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

    Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli. Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji. Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…