Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.
Habari za siku wapendwa.
Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au kuwathibiti yani iko hivi tuseme unaishi na mke wako au mume wako lakini ikitokea mmepishana kauli...
Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January
Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao...
Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
Leo Mida ya asubuhi Niko njiani na kibaskeli changu uchwala mala Kuna Gari imekuja nyuma Yetu Kasi Sana, mpaka ikataka kutugonga sie waendesha Vibasikeli visivyoheshimika mjini.
Kwa kua barabara Ni Finyu Jamaa katanua na kule Mbele Kuna Gari kubwa Kama tatu zimeongaza Jamaa amebrock barabara ya...
Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana.
Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.
2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.
3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita.
Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa.
Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar --...
Habari wadau,
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:
(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila...
Heri ya krismass kwa wakristo wote
Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja.
Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇
1. Kubeti
2. Futa account insta , fb na twitter
3. Kuacha kushabikia yanga
4. Kuacha kabisa ngono
Na-replace na hizi tabia👇
1. Kufanya mazoezi
2. Sala
3. Kujipenda mwenyewe
4. Kusoma...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe.
Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana.
Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)
Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
Wakuu habari za jioni.
Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani.
Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu.
Hili sio kwa wanawake tu, hata...
Habari wakuu,
Uzi huu unatokana na maisha anayoishi shemeji na mdogo wangu lakini pia naamini wapo wengine wanaoishi maisha kama ya hawa madogo. Ikumbukwe nimeleta uzi huu siyo kwa lengo la kuwabeza, kuwabagaza, kuwatweza au kuwadhihaki kwa namna yoyote ile bali kwaajili ya kuwapa wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.