Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo.
Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi.
Tusaidieni wenye takwimu sahihi.
Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu.
Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango.
Kila...
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.
Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️
Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili.
Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
1. Kujiona ( Kujimwambafai ) kabla ya Mchezo kuanza kwa Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston Mayele kulichangia Kumharibu / Kumharibia Kisaikolojia kwani Kitendo kile ni kama vile kiliwapa Kengele Mabeki wa Simba SC waongeze juhudi maradufu katika Kumdhibiti hadi akashindwa Kufurukuta.
2...
Wandugu wapendwa;
Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.
Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi.
Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.
Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la...
Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi.
Mimi ni mwanafunzi wa...
Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
Je,
1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana?
2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu?
3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno.
Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari
Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu?
Nasubiri
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
chama
chama tawala
dar
dar es salaam
hasara
kuelimishwa
kuhusu
kupoteza
maana
mazingira
mbio
mbio za mwenge
muhimu
mwenge
mwenge wa uhuru
naomba
nguvu
nimechoka
nje
pesa
serikali
shughuli
siasa
tafadhali
tena
thamani
uchumi
ufafanuzi
uhuru
umuhimu
wananchi
Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK.
Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake.
Nanyi Viongozi wa Kike...
Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar.
Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii
Jambo la kusikitisha...
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...