Salaaam, salaam!
Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.
Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya...