tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Iringa: Watu wawili washukiwa kuwa na ugonjwa wa MPOX, tuchukue tahadhari

    Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo. == Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa...
  2. Tahadhari kwa Watoaji wa Sadaka

    Ni muhimu kutambua kuwa sio kila mtu anayewashawishi watu kutoa sadaka ana nia njema. Biblia inasema nyakati za mwisho zitatokea roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani(1 Timotheo 4:1). Katika nyakati hizi, kuna watu wanaotumia jina la Yesu ili kuwashawishi watu kutoa sadaka kwa manufaa yao...
  3. Nawapa tahadhari, msitapeliwe

    Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000. wakaseema niki invest...
  4. TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
  5. M

    Tahadhari Kwa Mtumishi wa Mungu B. Mwamposa

    Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
  6. U

    Tahadhari aliyoitoa Nyerere 1996 kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC

    Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni ardhi yao ya asili. Maoni yangu: 1. Banyamulenge (Wanyarwanda wa DRC) wapewe uhuru Mashariki ya...
  7. Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  8. Tahadhari kuhusu wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi kupitia airtelmoney

    Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii. Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa, Nimewapigia Airtel jibu...
  9. Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  10. Tahadhari kwa Wakuu wa Wilaya Wapya walioteuliwa tarehe 24.1.2025

    Katika siku chache, Jana tarehe 24.1.2025, wakuu wa wilaya wapya wamepata nafasi ya kuteuliwa, kuongoza wilaya mbali mbali nchini. Hata hivyo, ni muhimu kuchukua hatua za tahadhari ili kuhakikisha ufanisi wa uongozi wenu. 1. Mwangalizi wa Makatibu wa CCM: Makatibu wa CCM wa wilaya ni watu...
  11. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  12. Tahadhari na ushauri

    Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya kipimo cha sphymomanometer kinachutumika kupima presha ya damu. Hapo kwenye picha chini ni majibu ya...
  13. Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  14. Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  15. Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe.

    Wana bodi! Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili. Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe. Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa...
  16. RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  17. Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  18. Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  19. TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
  20. Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…