tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    Tuendavyo itahitaji kuwa na tahadhari gari la kupanda

    Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima. Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria wengi. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini baadaye polisi walikataa, na inaonekana hakuna...
  2. Camilo Cienfuegos

    Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa. Tukutane baada ya dakika 90
  3. Lady Whistledown

    Siku ya Ukimwi Duniani: Tuzidi kuchukua tahadhari

    Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki Yangu!” Kauli hii inalenga kuwahamasisha viongozi wa dunia na wananchi kushiriki katika kuhakikisha...
  4. M

    Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

    Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
  6. Komeo Lachuma

    Tahadhari: Life in the Movies

    "Warning, this is the chief of police speaking Do not steal police hate competition I repeat do not steal police hate competition. Where we gonna run, where we gonna hide? You've got the right to remain silent But forever they were brought here to protect us They were brought here not to hurt...
  7. 5

    Tahadhari kwa wanaoagiza bidhaa kutoka china:- Kampuni ya mapembelo cargo kwa sasa haiaminiki tena

    Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo. Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
  8. Pfizer

    Chukua Tahadhari unapopishana na Magari yanayobeba kemikali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu

    Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
  9. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia chukua tahadhari kusuasua kwa TANROADS, utalaumiwa binafsi

    MODS naomba msiuunganishe mada hii na nyingine. Mimi mmoja wa waathirika moja kwa moja wa kusuasua kwa TANROADS, na amana yangu inaelekea kuuzwa na benki kutokana na TANROADS kushindwa kutulipa. Hali ya kusuasua na kuelekea kufa kwa TANROADS ni hali ambao haijawahi kutokea toka Taasisi hii...
  10. T

    Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

    Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi. Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
  11. milele amina

    DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  12. covid 19

    Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
  13. third eye chakra

    Tahadhari! Tafakari yaleo inaweza kugusa hisia zako hivyo kua mstaarabu wakati unatoa maoni yako au pita kimya kimya.

    WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO. NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO. NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
  14. Mtoa Taarifa

    Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  15. Roving Journalist

    TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  16. S

    Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k. Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona...
  17. and 300

    Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

    Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae. BCC: MOI, Amana
  18. L

    Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

    Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza. Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
  19. Tulimumu

    Polisi nao wako hatarini wachukue tahadhari ya maisha yao na familia zao

    Kama kuna watu wanaotakiwa kusoma alama za nyakati vizuri basi watu hao ni polisi wetu. Kwa muda mrefu wamejiweka juu ya sheria kwamba wanaweza kuvamia popote na kumkamata mtu yeyote bila kufuata sheria. Hawatoi vitambulisho, hawawatumii viongozi wa eneo husika, wanatumia, maguvu bila sababu...
  20. lugoda12

    Ishi nao kwa tahadhari

    Kuwaambia marafiki FEKI kuhusu matatizo yako ni sawa na kudiscuss malaria 🦟 case na mbu, maana bado watakung'ata tu! 🙄
Back
Top Bottom