tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. daraja la kigamboni

    Tahadhari: Usikope BancABC, ni wababaishaji

    Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa usifikirie kukopa hiyo bank inayoitwa Bank ABC. Wakati unakopa watakwambia utapata mkopo ndani ya masaa 48. Ukishajaza fomu utasubiri zaidi ya miezi miwili, kila siku ni ahadi kesho kesho. Au hii benki imefirisika?
  2. TODAYS

    TAHADHARI: Benki Kuu, Kuna Uhalifu Kwa Wakopeshaji Mtandaoni

    Uryevyedi mdau Mtanganyika!. Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi. Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa kuwakopesha kwa nguvu na hali kubwa sana, wanaunda App na kuilipia kama Ads kwenye mitandao ya...
  3. USSR

    Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
  4. Pang Fung Mi

    Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  5. Selemani Sele

    Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

    Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo. Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu. Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
  6. ndege JOHN

    Tuchukue tahadhari madimbwi ya maji yanaweza kusababisha KIPINDUPINDU

    Mvua kubwa za mafuriko zilizopiga zilisababisha madimbwi mengi ambayo athari zake zimeanza kuonekana kwani Kipindupindu kimeanza mfano katika mikoa ya Pwani ya Kusini kuna dalili za milipuko ya kipindupindu. Tahadhari ni pamoja na kutokula kula ovyo sio unakutana na mandazi ya baridi unayapiga...
  7. Makirita Amani

    Tahadhari; Ni Ngumu na Utashindwa

    Rafiki yangu mpendwa, Tasnia ya elimu ya maendeleo binafsi imetawaliwa na maarifa chanya juu ya mafanikio. Imekuwa inafundishwa na kusisitizwa watu kufikiri chanya ili kuweza kuchukua hatua na kupata mafanikio makubwa. Hiyo ni kwa sababu mtazamo hasi ndiyo kikwazo namba moja kwa watu...
  8. G

    Vilio na kusaga meno kwa mawakala kupigwa vimezidi, Hapa nimeorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kupunguza utapeli

    Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
  9. G

    Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
  10. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  11. Mag3

    Bila tahadhari huu mkanganyiko kuhusu Muungano wetu unaweza kuwa kichocheo cha machafuko

    Kabla ya Muungano mwaka 1964, kulikuwa na nchi mbili zilizojulikana kama Jamhuri ya Tanganyika ikiongozwa na Rais Julius K Nyerere na Jamhuri ya Zanzibar ikiongozwa na Rais Abeid A. Karume, Chama kilichounda serikali ya Tanganyika kilikuwa ni Tanganyika African National Union Party, TANU. Hivyo...
  12. tpaul

    Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom) Kuna Mapepo ya UHARIBIFU...
  13. W

    Kumbukizi: Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi mchakato wa katiba mpya

    Tahadhari tisubiri wanaitaka mabadiliko wawe wengi ni hatari!! Nitumie nafasi kuwaonya viongozi wa CCM watumie busara hii kuweka vizuri mambo muhimu kama; katiba, muungano, tumehuru. Nachelea kusema katiba yenye maoni yaliyoratibiwa na tume ya warioba wasiyapuuze.
  14. ngara23

    Tahadhari zipi zinatakiwa kujikinga na kimbunga HIDAYA

    Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu? 3. Tusikae milimani? 4. Tuandae chakula cha kutosha? 5.mavazi yaweje...
  15. Language Therapist

    SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
  16. Comrade Ally Maftah

    Chukua tahadhari unapoingia katika mahusiano na wanawake hawa

    CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA 1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO Unapojiingiza katika mahusiano na mwanamke ambae ana msongo wa mawazo unakuwa umeanza kujiingiza kwenye shida, mwanamke aliyepo kwenye...
  17. S

    Tahadhari ya Kuvunjika Muungano wa Tanzania - USSR

    Tanganyika nayo itatawanyika vipande vipande. Mbali ya huyu Mtanganyika huyu Mzanzibari, Tanganyika haitakuwa salama na ndio hata Waasisi wa Tanganyika waliusia sana kuhusu kuizulumu Zanzibar. Zanzibar ni ya kulelewa na kufanikishwa kila wanachokitaka, wanahitaji kudekezwa kwa hali na mali...
  18. Candela

    Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  19. Manyanza

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo. Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na urafiki; 1. Marafiki wasio na urafiki wanapanga njama dhidi yako usiku na kucheka nawe asubuhi...
  20. U

    Tahadhari ili kuepuka gharama uji wa ulezi huchanganywa na unga wa mchele

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa. Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo kuhusu uji wa ulezi unaouzwa kwa kutembezwa barabarani na Wamama hususani hapa Dar es salaam Inadaiwa...
Back
Top Bottom