Rais wa Tanzania Magufuli:
aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya,
aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania,
kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani,
kaongeza ukusanyaji wa ushuru,
kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
Ubalozi wa India nchini Tanzania umetoa tangazo la tahadhari unazochukua ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vinavyoenezwa kupitia mfumo wa upumuaji.
Ubalozi huo umeweka zuio kuanzia tarehe 27/01/2021 la watu wasio na miadi (appointment) kuingia katika ubalozi huo hadi hapo itakapotoa...
Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.
Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia...
Sasa ni dhahiri Wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji...
Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.
Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.
Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais...
Ghafla umezuka wema kutoka kusikojulikana kuwaomba CHADEMA wawasilishe majina ya wabunge wa viti maalum ili wajumuishwe kwenye mchakato wa uapishaji.
Hii inaogopesha! Ni wiki moja tu imepita tokea wafuasi na viongozi wa CHADEMA kufanyiwa kila aina ya unyama na mwisho kupokwa kila...
Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura.
Trump aliandika...
Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo...
Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na...
Nikiwa kama mwananchi mzalendo, nimetafakari sana athari tutakazozipata kutokana na ahadi zinazotolewa katika majukwaa ya siasa hasa katika kipindi hichi cha kampeni. Baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakiahidi mambo ambayo ukiyaangalia kwa undani hayawezi kutekelezeka hata kidogo.
Tumemsikia...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ya Dar es Salaam imesema wagonjwa wanaofika kliniki ya hospitali hiyo kwa siku ni 200 hadi 400. Habari zinasema kwamba kwa takwimu hizo tatizo la magonjwa ya moyo nchini ni makubwa.
Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, Dk Samwel Rwehemamu...
WaTanzania kaeni chonjo na hotuba za viongozi na wagombea wa CCM,wasikilizeni tu,mkiondoka unakibusu kichinjio huku unajisemea CCM mtanitambua mwaka huu.Chakubanga anakusanya vyombo vya habari na kurusha tumbaku,uongo mtupu,ila jamaa anajua kupangilia kama una akili ya kizezeta unaona kasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.