Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, Novemba na Disemba unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua chache na hivyo kusababisha athari ikiwemo upungufu wa chakula.
Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es...
Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa.
Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo.
Hivi...
Wapemba wanasema kaa chonjo saa mbaya. Ewe Mwana CCM upepo unaovuma ni kivumbi cha wananchi walio wengi tena wenye hasira ambao wameamua kupiga kura kwa kishindo kuondoa utawala na kusimika uongozi.
Usikubali kutumika kuingilia au kutumwa kuvuruga mwendo kasi huo, watawala watakuja kukukana na...
Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa.
Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa hawakubali kutoa penzi mpaka wapewe rushwa jambo hili limeonekana luwa linaleta changamoto kwa maskini...
Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note!
Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi...
Wenzetu Kenya Airways wametonywa, ndege zao ambazo hazijaruka hewani muda mrefu, watalazimika kuzipeleka service nzito, ama sivyo kuna hatari ya engine zake ku- stall (kuzima) hewani.
Kwa hiyo Air Tanzania vile vile wauchukue mtonyo huo na kuufanyia kazi.
US issues safety alert for 10 KQ Boeing...
Ninaishauri serikali ifanye mahesabu yake vizuri katika ujio wa Lissu leo. Hili tukio linafuatiliwa kwa umakini sana na mabalozi na Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini.
Jana usiku email ilitumwa na Umoja wa Mataifa kwenda kwa taasisi zake nchini na baadhi ya balozi na mashirika ya kifedha ya...
Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani.
Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
COVID-19-...
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.
Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina.
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika
Chanzo: Mwananchi
====
Licha ya Serikali...
Katika pitapita yangu ya kupata habari za dunia, nimekutana na habari ambayo imenishitua sana ikisema ndege za ATR ambazo hapa kwetu zinatimiwa na Precision Airways si salama tena kusafiria, na hata sasa zinaingizwa katika orodha ya ndege mbaya duniani zilizowahi kutengenezwa (the worst planes...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania, lakini mabeberu huwa wakaidi sana, wana jeuri isiyo ya kawaida, wamejibu kwa kutoa tahadhari nyingine dhidi ya Tanzania...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya matibabu imepungua mno.
Akizungumza Leo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo amesema:
“Tanga hatuna mgonjwa wa Corona, Amana wamebaki 3, Mloganzila 1, Kibaha 0...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida maeneo mengi ya jiji la Dar wakazi wake wameacha au kupunguza kuwa na tahadhari na ugonjwa huu .... Watu hawavai barakoa watu hawànawi kama ilivyokuwa siku chache gonjwa likipopamba moto.
Mwanzoni ilikuwa tahadhari ipo kila mahala na hata ndani ya mabasi ya...
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.
Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee! nani hajipendi?
Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele.
#MAN_VIBES
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu ametoa agizo kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuongeza idadi ya mabango ya barabarani yanayoonyesha tahadhari na faini kwa madereva watakaogonga wanyamapori katika barabara ya Babati kuelekea Arusha.
Ametoa agizo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.