tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tahadhari ya vipindi vya upepo mkali na mawimbi makubwa Dar, Ukanda wa Pwani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa taarifa hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 kuwa kutakuwa na vipindi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika Pwani ya Bahari hindi na kutoa angalizo kwa watu kuchukua tahadhari. “Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzanzania inatoa angalizo la vipindi...
  2. Jidu La Mabambasi

    Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani

    Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite. Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali. Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
  3. E

    Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  4. Suley2019

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) watoa tahadhari ya mvua kubwa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
  5. Pang Fung Mi

    Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

    Hello JF, Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  7. system hacker

    Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  8. vibertz

    Yanga ichukue tahadhari kwa Marumo Gallants

    Achana na habari ya kushuka daraja, lakini performance ya hawa Gallants ni moto, wako vizuri sana. Kama kuna watu weshuhudia game ya jana kati ya Pyramid dhidi ya Al Ahly wataona moto wa pyramid ulivyo. Binafsi niliona kama pyramid pengine wameshuka kiwango hadi kupelekea kutolewa na Marumo...
  9. J

    Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

    Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia Hata hivyo hoja zake zilipingwa na Waziri Jennista Mhagama akidai ya kuwa hazina ukweli kwamba maagizo yanafanyiwa kazi na...
  10. benzemah

    Tahadhari: Ugonjwa wa mlipuko Ubungo, Dar Es Salaam

    Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya ubungo, anawatangazia wananchi wote wa manispaa ya ubungo kuwa katika mkoa wa dar es salaam kuna mlipuko wa ugonjjwa wa kuharisha na kutapika. Hivyo anawaomba wananchi wote kuchukua tahadhari kwa kufanya yafuatayo 1. Epuka kunywa maji yasiyochemshwa au...
  11. Yoda

    WHO yatoa tahadhari ya hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan

    Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine. Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa hatari ya mlipuko yanayojumuisha Polio, Tetekuwanga, Kipindupindu na mengineyo zilizokuwa zimehifadhiwa...
  12. R

    Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

    Ni ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa. Binafsi, mbali na kwamba ni muajiriwa, lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi, kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri. Kwa hali ilivyo sasa, anaweza tokea...
  13. MTAZAMO

    Kuelekea derby ya Kariakoo, Tahadhari muhimu kwa Simba!

    Wakuu, Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo. 1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu sababu akili zao huzama kwenye wachezaji hatari kama Mayele kuliko akili ya Nabi. Kwa muda mrefu Nabi...
  14. The Mafia

    Tahadhari: Kuna wizi mpya umeingia Dar es Salaam, Vituo vya Daladala tuwe makini

    Habari, Kuna Wizi Mpya Upo Stendi Za Daladala, hasa asubuhi muda ambao usafiri unasumbua, anatokea jamaa karibu yako nae anajifanya kulalamikia ugumu wa usafiri, na wewe unachukulia ni abiria mwenzio mnaweza kuzoeana kwa muda mkiongelea adha za usafiri, baada ya muda linatokea gari private...
  15. Nyuki Mdogo

    Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  16. MIXOLOGIST

    Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

    Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
  17. benzemah

    NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  18. NetMaster

    Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  19. BARD AI

    Tahadhari ya Marburg: Wasafiri kupimwa joto Kagera, watakaobainika kuzuiwa safari

    Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini, Serikali imetoa mwongozo wa wasafiri kote nchini kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja. Machi 21 Serikali kupitia Wizara ya Afya ilithibitisha uwepo wa ugonjwa Marburg katika...
  20. Robot la Matope

    Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
Back
Top Bottom