"Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe.
Chanzo: EastAfricaTv
Kwa Viongozi Majuha kama hawa na...
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.
"Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na...
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga
Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!
Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji.
Lakini...
Kwa watumiaji wa barabara ya Kilosa - Dumila ni muhimu kuwa makini hasa wakati wa usiku maeneo ya KITETE, maana kuna magari yanayobeba miwa yanapaki barabarani bila Alama zenye kuakisi.
Kinga ni bora kuliko tiba
Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko.
Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo.
Hiyo imetokea...
Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka.
KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA
Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
Hawa TALA bado wanaendelea kuwaibia watu tena kwakutumia clip za wasanii maarufu ...baya zaidi wana dai pesa utatumiwa online ... mamlaka husika haiwezi kamata hawa watu?? ...mbona vitu vingine ni rahisi kuvifuatilia mfano mikutano ya ndani ya vyama pinzani kwanini jambo ovu kama hili...
Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira.
Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka...
Habari ndgu wana jamii forums,
Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari
Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho,
Je, unajua mtu anaweza kubeba...
Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili.
Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini.
-
Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.