Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom
Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom
Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika...
Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
Wadau wote hamjamboni
Niwatahadharishe
Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya
Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja"
Aksanteni
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya.
Amesema hadi kufikia tarehe...
Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa kama Mimi ni mnazi wa timu flani si ni rahisi kuwarubuni?
Timu zetu za kariakoo zina watu maeneo...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.
Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
Yaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja...
Mkuu wa polisi hapa Arusha katutahadhalisha matumizi ya simu wakati wa mvua yanaweza kusababisha RADI.
Hii kweli inawezekana jamani?
Wenye kujua hili naomba ufafanuzi
Hata hapa Dar es salaam, msimu wa mvua unakaribia.
Radi hapa Jijini si za kutisha , lakini tumesikia kwa mfano huko Rukwa radi imeaua karibu kila wiki.
Nyanda za Ziwa kuzunguka ziwa Victoria radi ni kitu cha kila mwaka na inaua watu wengi.
Watu wanafikiri ni uchawi lakini hewa huwa ina...
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini
Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.
Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewatahadharisha wafanyabiashara bidhaa za chakula zilizofungashwa yakiwemo mafuta ya kula kuweka ama kuanika kwenye jua kwani kunaweza kuleta madhara makubwa ya kiafya kwa binadamu.
Ameyasema hayo leo Afisa Uthibiti ubora TBS, Bw. Baraka Mbajije wakati...
Tahadhari ya Upepo mkali unaozidi Kilomita 40 kwa saa pamoja na mawimbi makubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya Pwani na Ukanda wa Bahari ya Hindi yakiwemo Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) pia imesema maeneo machache kwenye Mikoa kadhaa...
Tahadhari tumepewa [emoji116]
Habari zenu mabibi na mabwana. Polen na majukumu.
Napenda niwashirikishe jambo lililonikuta ili kukuokoa Wewe au mwingine.
Kuna wizi wa ajabu wa aina fulani ya madawa ya kupoteza ufahamu.
Jana nikiwa natoka kazini Muda wa jioni nikapita Mlimani City.
Baada ya...
Wakuu Amani iwe kwenu.!
Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli...
Wakuu,
Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli niliokumbana nao kwa...
Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini.
Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria ambayo haikuwahi kuwepo duniani na Mbinguni ili kukusanya mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.