tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ramon Abbas

    Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile. serikali inamlinda sana. Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
  2. Kiminyio 01

    Panya Road wamerudi, tuchukue tahadhari, Polisi Dar wafanya msako wawanasa waliowapiga watu mapanga

    Wana Jf Wasalaam, Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road) Update; -Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya...
  3. T

    Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

    Wanajamvi Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
  4. jerryempire

    Tahadhari ya utapeli mpya Dar kwa sasa

    Habari zenu wanajukwaa, Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi. Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima...
  5. B

    #COVID19 Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  6. STUNTER

    PICHA: Chukua tahadhari; ukiona hivi usisogelee bahari, ni hatari!

    Kuwa makini sana kipindi uwapo Beach! Kabla ya kuingia kwenye maji, angalia vizuri bahari. Ikiwa utaona nafasi iliyojitenga kama uwazi katikati ya mawimbi, usiingie! Ni mkondo wa chini na utavutwa ndani. Mkondo huu unaweza kuwa UNDERTOW au RIP CURRENTS (unaweza uka-google kwa maelezo zaidi)...
  7. C

    Tahadhari dereva, tochi Mbezi kwa Msuguri

    Kuna tochi hapo kwa Msuguri. Endesha kwa uangalifu
  8. Richard

    Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  9. Gordian Anduru

    Tahadhari kwa Simba: Red Arrow imewahi kuipiga timu ya Tanzania 7-0

    Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0. Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
  10. OMOYOGWANE

    Watu wanaoongea sana (micharuko) huwa hawana siri, chukua tahadhari

    Kwa utafiti wangu usio rasmi, kuna wale watu wanaongea sana, ukiwakuta kwenye kikundi cha watu au popote pale wao mara nyingi hupenda kudominate mijadala, mara nyingi waongeapo huongea kwa sauti ya juu sana, hujifanya wanajua kila kitu, pia hawa watu hupenda kuzoeana haraka na kila mtu ndani ya...
  11. B

    Tahadhari uhaba wa Wahadhiri vyuo vya elimu ya Juu Tanzania

    20 October 2021 Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo. Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi kuhusu ubora wa wahitimu hapa nchini. Akizungumza katika mkutano ulioikutanisha Serikali, makamu...
  12. Roving Journalist

    RC Makalla: Volcano ya tope iliyopo Kunduchi Dar, ni eneo hatarishi, Wananchi chukua tahadhari

    RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI - Asema eneo hilo halifai kwa makazi. - Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope kuwa eneo la hatari na halifai kwa...
  13. beth

    #COVID19 Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  14. Mdada96

    Tahadhari: Uporaji kwa wanaopewa lift na magari binafsi waibuka

    Hello Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini humu DSM, sijajua kwa mikoani. Gari haswa hizi private zina offer lift waweza dhani ni msamaria mwema lakini ni wezi ukiingia humo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na password utatoa, simu na pochi...
  15. J

    #COVID19 Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  16. The Assassin

    Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

    Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari. Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na...
  17. N

    #COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

    Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani. Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu...
  18. Superbug

    Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

    Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way. Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
  19. beth

    Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  20. J

    #COVID19 Chukua tahadhari zote za Covid-19 hata baada ya kupata chanjo

    Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19. Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa...
Back
Top Bottom