tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vifo vya wachezaji Tanzania, mamlaka zinachukua tahadhari zozote?

    Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye hospital ya kiwanda cha Mtibwa mkoani Morogoro. Kwa...
  2. Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  3. Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  4. Tahadhari: Baada ya line kuzimwa leo utapeli huu utashamiri kwa kasi ya ajabu

    Moja kwa moja.. Nimeona tangazo kutoka serikali kuwa leo tarehe 13 line zote zisizo hakikiwa zinaenda kuzimwa. Kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya unaonyesha Watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu zoezi ili kuanzia madhumuni yake ,jinsi ya kuhakiki nk.. UTAPELI UTAKUJA KIVIPI ? Kuna...
  5. Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuhusu ajira za SGR

  6. Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  7. D

    Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli. Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika. Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
  8. H

    Kwa wale wapenda mbwa tuchukue tahadhari

    Niende moja kwa moja kwenye mada, ukiamua kufuga mbwa hasa hawa wakizungu kama Rottweiler, Pitt Bull, Mastif, Belgium Malnoir nk, tenga muda wa kuwa nao karibu. Mafunzo ni muhimu wafanye watambue kuwa wewe ndo mkuu na kiongozi. Kwanini nasema hivi kuna kipindi nileta habari ya mbwa ya mbwa...
  9. Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa, kuongeza uzalishwaji wa damu pamoja na kuboresha afya ya macho, ngozi, nywele na mifupa. Pamoja na...
  10. Mvua yaua watatu Arusha, Polisi watoa Tahadhari

    Watu watatu wamefariki kwa kusombwa na maji ya mvua mkoani Arusha, kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Watu hao, wamefariki katika Wilaya za Monduli na Longido, ambapo wawili ni wanafunzi akiwemo aliyetarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza siku chache...
  11. TANROADS DSM: Tahadhari, stayed cables daraja la watembea kwa miguu kituo cha Bondeni barabara ya Bagamoyo zimelegea

    TANROADS DSM chukueni tahadhari, hasa idara yenu ya ukaguzi na maintainance Daraja la waenda kwa miguu, cables ziko loose. Kwa wanaohua mode of failure, cable ambazo ziko tight zaweza kukstika hivyo daraja kucollapse.
  12. Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
  13. Tahadhari: Misaada na ndoa za jinsia moja

    KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini. Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...
  14. Wachumi watoa tahadhari nchi kusamehewa madeni

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya. “Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
  15. Hali ya hewa Leo(just..joto) si njema. Mamlaka zitie tahadhari

    Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
  16. Faida na Tahadhari za Chuchu Bandia (Pacifiers)

    Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi. Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au hata kukamilisha biashara na kazi zao zingine. Faida Chuchu bandia huwa na faida nyingi. Miongoni mwa...
  17. H

    Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  18. Tahadhari za matumizi ya jiko la mkaa

    Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa. Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya mwili usipate kiasi cha kutosha cha hewa safi ya Oxygen inayohitajika kwenye upumuaji. Ikiwa...
  19. TAHADHARI: Wagonjwa wa akili 150-250 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa. Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo amesema tatizo hilo linazidi kukua nchini na asilimia kubwa ya Wagonjwa hukutwa na sababu za...
  20. Tahadhari ya Baa la njaa duniani yatolewa, mtu mmoja hufariki kila baada ya Sekunde 4

    Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational yameelezea hali ya wasiwasi ongezeko la viwango vya njaa Barua hiyo imebainisha kuwa Mtu mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…