The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
Kontena zaidi ya mbili zenye jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni mbili zimekamatwa kwenye ghala moja lililopo eneo la Chang’ombe Jijini Dar es salaam huku Mtu aliyeziingiza nchini pamoja na Mmiliki wa ghala lililokutwa na jezi...
Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani.
Taifa hili lina tatizo gani...
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua"
"Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi lolote kwa Watanzania ambao ndiyo walipakodi Wakubwa kwanini Kikosi cha Taifa Stars kifichwe Kwao?"...
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023.
“Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
Kuanzishwa 1925
Mchezo wa kwanza
Uganda 3-10 Tanganyika
Baada ya Muungano 1969
Tanzania 10-1 Kenya
Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano
Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012..
Kipigo kikubwa ..
Tanganyika 8-9 Kenya 1956.
Baada ya Muungano
Algeria 7-0...
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau?
Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa...
Pamoja na ngeke la kufuzu Afcon lakini ukweli lazima usemwe kuhusu maufa ufa yaliyojaa katika timu ya Taifa stars. kwa ukweli kabisaa taifa stars haina ubora wa soka la kitabuni ambalo Yanga na Simba wanalionesha kwa mashabiki wao kila kukicha. tatizo kubwa likiwa ni kocha mtaalamu ambaye...
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
Mods naomba msiunganishe hii thread!
Leo hii kila Mtanzania akiwa na Furaha baada ya timu yetu ya Taifa Stars Kufuzu Afcon mwakani.
Sasa kila Mtanzania ana uhakika wa Kukaa kwenye TV na kuona Vijana Wetu wakiliwalisha Taifa Huko Ivory Coast...
Sasa tumegundua ya kuwa timu yetu Ili kufanikiwa...
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya Septemba 9, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea nchini Algeria kwenye mchezo wa wa kufuzu mashindano ya AFCON 2023 yatakayochezwa mapema mwakani 2024 nchini Ivory Coast.
Katika mchezo huo...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje tunaonana na Kibu Denis akiwa kashikana mkono na Dickson Job wakituukiza "Mlisema hatufiki mbali hapa ni...
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani
All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.
Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama...
Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya.
Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa.
Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni wacongo na wanazipenda nchi zao hamuwezi kuwanyanganya haki hoyo hata iweje kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.