The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco.
"Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao...
Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu.
Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo cha upatanisho kwa wananchi. Yaani inapocheza wanasahau tofauti zao za kisiasa, kiimani, kiitikadi...
Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakweli...
Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa.
Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA.
Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa ili wajitume walau waambulie hata SODA ya MENERIKI II.
Kuelekea AFCON 2024.
Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).
Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.
Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland
Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili
Waliowapokea...
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE.
Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA
(thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa kuliko wengi wanavyodhani au kufikiri. Matokeo yake wamekuwa wanatumia nguvu kubwa kutengeneza watu...
Tuweke siasa pembeni,
Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa.
Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati.
Uzi tayari
Mageuzi ya kweli kwenye jambo lolote huwa yanahitaji kufanya maamuzi magumu. Wakati mwingine maamuzi hayo yanaweza kushtua watu, yanaweza kuogopesha wengine, yanaweza kukatisha tamaa kwa baadhi na utegemee lawama na shutuma nyingi.
Nimependa ushujaa wa Kocha wa Taifa Stars Amrouche ambaye...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
aibu
baada
ccm
dunia
hamas
intelligence
israel
kisiasa
kombe
kombe la dunia
kufuzu
kuhusu
kujipendekeza
maoni
mchezo
mkeka
morocco
mpira
mstaafu
novemba
rasmi
shambulizi
taifataifastars
tanzania
vitu
wangu
yanga
yangu
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana...
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger.
Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa
"Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako itaumana na Timu ya Taifa ya Niger katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Kombe la Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.