taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Wanasiasa kila mkileta shobo na hamasa fake, Taifa stars inapigwa

    Taifa stars siyo team ya wanasiasa ni mali ya Watanzania wote Taifa stars sio team ya kukutafutia Kiki na uchawa wa kijinga, Wanasiasa mnawapa pressure wachezaji wetu Kwa ahadi za mapesa hadi wanashindwa kuwa kwenye uwepo uwanjani Mkome huu upuuzi wenu Taifa stars imeshinda dhidi ya Zambia away...
  2. USSR

    Kwanini mechi za Taifa Stars ziwe za kulipia viingilio? na Vipi kuhusu pesa za goli la mama?

    Kama mnatoa ruzuku kule Baraza la Michezo la Taifa BMT na wizara ya michezo inapata pesa za kuendesha timu za taifa iweje watanzania walipie kuona matches za timu yao ya taifa . Kama mnalipia hadi bao la goli za vilabu inakuwaje matches za timu ya taifa hakuna na tulipie kuona na kutaka kuona...
  3. kavulata

    Bila kujua, wasemaji wa Simba, Yanga na Azam wanaidhoofisha Taifa Stars

    Timu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi kuliko KMC na Coastal Union? Pili, kuna wasemaji ambao huwa wanajigamba hadharani kuwa timu zao zimetoa...
  4. SAYVILLE

    Kwanini Taifa Stars hawavai nembo mpya ya Sandaland (SANDA)?

    Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya. Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
  5. Mkalukungone mwamba

    Yanga, Simba na Azam kununua goli milioni 5 ili kuipa hamasa Taifa Stars

    Kauli hii imezungumzwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kwa niaba ya wasemaji wengine “Sisi ambao ni vilabu na ambao ndiyo wanufaika sisi Yanga, wenzetu Simba na Azam inatakiwa tumsapoti mama kwa kununua goli ili kuipa hamasa Taifa Stars.” “Masharti ya kupata pesa hizo ni kila goli tutanunua kwa...
  6. D

    Mgunda ni kocha wa Simba au Taifa Star? Majukumu ya Taifa Stars anafanya saa ngapi? TFF wanatuona wajinga

    Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time. TFF watoe majibu? Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge. Makocha hao wanaiongoza Stars...
  7. D

    Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

    Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known. Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
  8. D

    Feisal toto kwanini anaitwa timu ya Taifa na hana kiwango wala msaada timu ya Taifa . bora Awesu Awesu

    I will be short. when did Fei toto ever help taifa stars in anything?? Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa. Morocco anaona nini kwa Fei toto? Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
  9. Labani og

    Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  10. Mkalukungone mwamba

    Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025

    Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024. Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho...
  11. OleWako

    Sandaland waache kutengeneza Jezi

    Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha...
  12. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  13. MwananchiOG

    Hata TBC1 hawaiamini Taifa Stars?

    Timu ya Taifa inacheza lakini cha kushangaza Televisheni ya taifa, TBC haina muda wa kuonyesha mchezo huu muhimu, Je kama kituo namba moja cha taifa hakina muda na timu ya taifa, sisi wananchi je? PIA SOMA - LIVE - Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024
  14. costview

    Kizazi kipya cha Taifa stars

    Katika mechi ya leo ya Taifa stars nimependa asilimia kubwa ya wachezaji wa leo ni kizazi kitakacho kuwepo kwa muda mrefu kutokana na umri wao japo matokeo sio ishu kutokana na timu ya Mongolia kisoka ni ndogo ila pia madogo kucheza vizuri
  15. Moshi25

    Taifa Stars gari limewaka

    Mechi ya Morocco tulianza kushanga shangaa tu hatujielewi kama tuko Afcon, baada ya kupigwa Goli moja tukaamka na kutandaza boli kama Brazil tukawabana Morocco REFA akatukandamiza kama kawaida yao kuonea underdogs akamtoa Miroshi Novatus kwa red card na kukataa kuangalia VAR ili asibadili...
  16. D

    Taifa stars wa rebuild kikosi kwa yanga kwa afcon ya 2027. Kama South Africa Mamelodi, here is why?

    Reasons 1. Players chemistry yanga wana players chemistry nzuri sana . One the best in Tanzania 🇹🇿 . 2 : GAMONDI BALL mpira upo chini. Awabutui . Wa nafanya build up vizuri . Creativity . The best manager in football in tz 3: DEVELOPMENT IN YOUTH : youth wa napewa time in yanga. Na mpira...
  17. Mjanja M1

    Taifa Stars kurudi nchini kwa Awamu (Mafungu)

    Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja "Kuna changamoto kidogo ya usafiri. Hatukufanikiwa kupata tiketi za timu nzima kwa mara Moja kwahiyo walioanza kuwasili nchini jana ni wachezaji...
  18. GENTAMYCINE

    Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  19. MamaSamia2025

    ONYO; Wafuatao wasithubutu kuilaumu au kuidharau Taifa Stars

    Watu wengi wanailaumu na kuibeza Taifa Stars kwa kufanya vibaya ila wafuatao marufuku hata kufikiria kutamka neno baya dhidi ya Taifa Stars; 1. Kiongozi yeyote mwenye dhamana na michezo ambaye hutafuna pesa za maendeleo ya soka. Badala ya kukuza soka yeye anakuza tumbo lake. 2. Mtu yeyote...
  20. kavulata

    Wachezaji 12 wageni kwenye timu ni sumu kwa Taifa stars

    Lawama la kushindwa kwa Taifa stars AFCON kwanza liende kwa TFF kabla ya sehemu nyingine. Timu zetu kubwa kwenye ligi haziandai Wachezaji wa kuichezea timu ya taifa kwakuwa wamepewa ruksa ya kutafuta wachezaji 12 nje ya nchi. Hii inasababisha vijana kama Mzize na wengine wasipate muda wa kukosea...
Back
Top Bottom