taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Chakaza

    Mnataka Stars Ishinde na Kwenda AFCON? Ondoeni Siasa na Kampeni Zenu Mchezo Huo

    Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja. Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli. Wachezaji...
  2. Chizi Maarifa

    Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

    Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
  3. ngara23

    CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Mpira ni biashara Timu letu Bado ni bovu Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
  4. Waufukweni

    Rais Dkt. Samia atangaza ofa ya kuiona Taifa Stars bure dhidi ya Guinea

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza hamasa kwa wapenzi wa soka nchini katika kipindi hiki kigumu baada ya tukio la kusikitisha la kuporomoka...
  5. Allen Kilewella

    CCM mechi ya Taifa Stars na Guinea msilete mambo yenu uwanjani

    Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana. Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo. Sasa jumanne ya tarehe...
  6. Waufukweni

    Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  7. Waufukweni

    Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

    Hii nayo ameona isimpite 😂🤗 Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono. Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
  8. Waufukweni

    Simon Msuva, Shomari Kapombe warejeshwa kikosini Taifa Stars kufuzu AFCON 2025

    Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025. Taifa Stars itacheza dhidi ya Ethiopia, Novemba 16 na dhidi ya Guinea, Novemba 19, Benjamin Mkapa. Kikosi cha Taifa Stars...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan. Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza...
  10. Waufukweni

    Ally Salim atemwa, Aishi Manula arejeshwa kikosini Taifa Stars

    Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
  11. Its Pancho

    Abdalah Bares ni kocha mzuri kuliko Hemed Moroco

    I salute you kinsmen. TFF wamekuwa wakituvunja moyo kila siku linapokuja swala la team yetu ya taifa. Kwanza wanatuletea makocha wabovu na wa hovyo sana nadhani kuna maswala ya 10% mule ndani . KAMA NI KIGEZO CHA UWEZO WAKE. Kumpa team huyu moroco tangu mwanzo watu tulisema huyu ana uwezo...
  12. willy ze great

    Dini kubwa Tanzania hivi hakuna vipaji?

    Habari ndugu zangu kutokana na matokeo mabovu ya Taifa Stars inaenekana dini kubwa Tanzania tunashindwa kupambania taifa kwenye michezo hasa football. Vilabu vya kariakoo vimejaza dini moja kwenye vikosi vyao mpaka watumishi wa hivo vilabu wanamlengo wa dini moja. Hivyo kama mtanzania...
  13. D

    Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

    I will be short 1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that?? Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same. 2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league? not a single...
  14. Best Daddy

    Takwimu: Thamani Ya Taifa Stars Mioyoni mwa Watanzania, Ila Kwa Wa-Africa Bado Ni Safari Ndefu

    Hii sio taarifa kuhusu kiwango au performance ya timu. Hii ni taarifa inayoonesha timu ya taifa inaundwa na wachezaji wenye thamani(value) gani. Kwa mujibu wa tovuti ya ya Transfermarket na Score, imetoa tafsiri kwamba thamani ya timu ya taifa ‘ Total Market Value” napatikana kwa kupima mambo...
  15. S

    Wizara ya Michezo na Taifa Stars chukueni ushauri huu kama mnataka matokeo makubwa siku zijazo

    Nimeangalia mechi zote za taifa star! Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa! Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika expiring date! Hatukatai ubora wake wa zaman lakini haiondoi ukweli kwamba hata sumu ikiwa kali namna...
  16. Suley2019

    Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025. Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo...
  17. M

    Kocha wa Taifa Stars jitafakari

    Leo timu ya taifa ( taifa stars) imenyolewa kwa chupa mbele ya watanzania pamoja na hamasa iliyokua uwanjani na mitandaoni Binafsi siamini katika hamasa kuliko kujishuhulisha. Imewezekanaje mpira uliopigwa leo na Taifa stars ichabangwe goli mbili kwa buyu? Tena mbele ya waziri mkuu Majaliwa na...
  18. Erythrocyte

    Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

    Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi. Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga...
  19. F

    Vunjeni benchi zima la ufundi Taifa Stars

    Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji? Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
  20. Mende mdudu

    Barua ya wazi kwa wachezaji wa Taifa Stars watakaocheza na Congo kufuzu AFCON

    Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo, Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo. Kwenye mpila kuna muda...
Back
Top Bottom