taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. dr namugari

    Ndugu zangu Watanzania, Uzalendo haununuliwi na tutatengeneza taifa la watu mamluki

    Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani...
  2. Wakipekee

    Ukweli Mchungu; Taifa Stars haitofuzu AFCON 2025

    Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu ni Ile ya Ethiopia ugenini. Lakini hao wahabeshi walitutoa kamasi hapa nyumbani. Msimamo ulivo D.R...
  3. mdukuzi

    Taifa Stars wapewe milioni 5 yao ya goli la kujifunga kule DRC,italeta hamasa kwa mechi ijayo

    Kipindi niko shule headmaster wetu alukuwa anatoa xawadi kwa wanafunzi watatu bora na watatu wa mwisho. Hii ilipelekea wale watatu wa mwisho kupambana sana jukwepa zawado ya nchongo kwa muhula unaofata. Stars wanechoma kule DRC wapewe hela yao ya goli la mama,huyohuyo aliyechpna atachomoa nechi...
  4. OMOYOGWANE

    Taifa Stars ya sasa ndio timu bora kuwahi kutokea wachambuzi wa mchongo wapuuzwe

    Just imagine squad yote kuanzia kipa, beki winga viungo mpaka washambuliaji wote ni wa hapa hapa ligi kuu ya NBCPL, Mnataka wacheze soka safi la kufunguka bila mipango ili iweje? Hivi mnajua mpira kweli ninyi wachambuzi wa mitandaoni? Timu ipo nafasi ya pili kwenye kundi, na kama sio makosa ya...
  5. Boss la DP World

    Nafurahi sana Taifa Stars ikifungwa.

    Jana siku imeenda vyema sana baada ya Mzize kufanya kweli. Kwakifupi timu ya taifa inazingua, rais Samia anadangwanywa na ameingia kwenye mfumo. Mh. Rais, huna timu ya taifa. Na bado.
  6. Yoda

    Kupunguza wachezaji wa kigeni Simba na Yanga kutaifanya Taifa Stars ifanye vizuri

    Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa. Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa...
  7. Jaji Mfawidhi

    AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

    Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC. Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
  8. USSR

    Rais Samia unaona sahihi mechi za soka za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za kulipia, uzalendo uko wapi?

    Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure. Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
  9. FK21

    Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

    kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo 1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima 2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓ 3. MOHAMED HUSEIN - 4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
  10. Mkalukungone mwamba

    FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
  11. kavulata

    Wachambuzi na wanahabari isemeeni Taifa Stars zaidi kuliko Simba na Yanga

    Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda timu yao? mnasubiri kulipwa ili kuichambua na kuhamisha watu kuipenda na kujaza viwanja wakati wa...
  12. Moshi25

    Taifa Stars hiyoo AFCON, hakuna timu ya kutuzuia!

    Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka. Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta yoyote, hapo rank za FIFA huwa hazina kazi , bampa to bampa, piga nami nikupige, Congo DR mabishoo ...
  13. GENTAMYCINE

    Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
  14. GENTAMYCINE

    Je, Mbwana Samatta karejeshwa Taifa Stars kwa Shinikizo, Uwoga, Unafiki au kwa sasa Kiwango chake Kimeimarika huko aliko?

    Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
  15. JanguKamaJangu

    Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

    Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025 ~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
  16. mdukuzi

    Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

    Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya Kakolanya kutemwa Simba na Manula na Salim kusugua benchi pake msimbazi ni kama Stars haina kipa wa...
  17. I

    Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

    Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi...
  18. G

    Kuna goli la mama kwenye mechi za Taifa Stars?

    Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k. Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo? Soma Pia: FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny...
  19. M

    Gamond boys leo wamewaka, wametupia magoli kwenye mataifa yao

    Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao. Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia! Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa...
  20. Comrade Ally Maftah

    Taifa Stars (Nyota)wameibuka vinara dhidhi ya Guinea kwa ushindi wa 2 - 1

    UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO) Tanzania VS Guinea. Katika viwango vya FIFA vinaonyesha Guinea ipo katika nafasi ya 77 na Tanzania tukiwa nafasi ya 113. Mechi hii imechezewa Ivory Coast ikiwa Guinea ndio wenyeji wa mchezo huo, kwa sababu Guinea hawana kiwanja kinachokidhi...
Back
Top Bottom