tajiri

  1. Nikola24

    Jinsi ya kuwa Tajiri ndani ya miaka mitano! Tazama hii picha

    How to Become Wealthy in 5 Years Become Financially Educated Learn Money Management Save Money to Invest Invest in Passive Income Sources Network with self-made Rich People Have Mutual Sources of Income
  2. Tajiri Sinabay

    Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

    Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...
  3. RWANDES

    Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  4. Eli Cohen

    Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  5. GENTAMYCINE

    Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  6. M

    Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

    Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka 3.Omba Mungu sana Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu...
  7. KING MIDAS

    Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  8. A

    Kwa hizi pesa wanazochezea CCM, Tanzania ni tajiri sana, westerns wafunge misaada kabisa.

    Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana. Hii nchi ina pesa nyingi sana. Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao. Angalieni deni la taifa...
  9. Muuza madafu wa Ikulu

    Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  10. CARIFONIA

    Je, unatamani kuwa tajiri basi soma kwa umakini huu uzi

    “Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue” Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa kwa makusudi kukuweka kwenye mbio zisizoisha za kutafuta maisha, huku wao wakizidi kupaa juu. Ni...
  11. W

    Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  12. SAYVILLE

    Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  13. C

    Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  14. The Supreme Conqueror

    Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi

    Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida. Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa...
  15. Nehemia Kilave

    Una kipi cha kumshauri Tajiri Chui katika magumu anayopitia ?

    Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
  16. Shuku_

    Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  17. Yoda

    Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

    Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
  18. Teslarati

    Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia kutakatisha fedha zao" akanijibu kuwa anataka angalau amani ya moyo tu. Akaendelea kusema kwamba wote...
  19. Ben Zen Tarot

    Busara kutoka kwa baba tajiri

    Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa kazi akili yako itaanza kufanya kazi kama akili ya mwajiriwa. Kama ukianza kufikiri tofauti kama mtu...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

    Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno. Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya. Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
Back
Top Bottom