tajiri

  1. sonofobia

    Ndio Lissu ni mbangaizaji. Lakini Mwalimu Nyerere aliwezaje kuiongoza TANU akiwa sio tajiri?

    Kuna hoja inatumiwa sana na machawa wa Mbowe kuwa Lissu hawezi kuingoza chadema kwa kuwa ni kapuku na mbangaizaji. Lakini tumeona viongozi kama Nyerere wakiongoza chama kwa mafanikio bila kuwa matajiri. Lissu atashindwa nini? Maalim Seif hakuwa millionea kama Mbowe lakini aliipa nguvu cuf na...
  2. EvilSpirit

    Jumba la kifahari la tajiri bilionea wa kihindi Mukesh Ambani

    Lina ghorofa 7 tu,eti na ndio makazi gharama zaidi duniani
  3. Li ngunda ngali

    Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

    Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine. Takbir!
  4. Red black

    Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Watu wanapitia mengi ila inabaki kuwa siri sirini....mkiambiwa utajiri ni siri muwe mnaelewa. sawa vijana wapenda Shortcut??
  5. L

    Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X. Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
  6. N'yadikwa

    Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

    Katika jamii yetu, imezoeleka kwamba kupata shahada (degree) na ajira rasmi ni hatua kubwa ya mafanikio. Hata hivyo, ukweli wa maisha unaonesha kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei moja kwa moja kiwango cha elimu wala ajira pekee. Ajira nyingi za ofisi zinakupa mshahara wa kutosha kukidhi...
  7. The only

    Sababu ambayo rafiki tajiri hakutaki tena(rafiki sio mzazi wako)

    Poleni na majukumu ! Wakuu nimeona ndugu tujadili hili ili tupate uelewa wa pamoja .Kuna dogo alikuwa bodaboda jirani na baa ya mtaani napoishi mimi kidogo nakakipato ka wastani nani broo sana kwa hawa bodaboda kwa maana age yao wengi 18 hadi 30 mimi niko mid forty ,sasa mimi nimejaaliwa ile...
  8. dgombusi

    Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

    Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa. Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa...
  9. GoldDhahabu

    Mafuta ya Zanzibar yataifanya Tanzania kuwa tajiri kama Libya?

    Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema! Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi? Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
  10. M

    Walikuja walokole kutaka kuniombea eti niwe tajiri

    Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1. Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua. Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze kuomba kwa jina la Yesu nitakuwa tajiri. Nikiwatizama wenyewe wamevaa yebo yebu , mguu kuku mguu...
  11. M

    Aliyeridhika chanzo kimoja na asiye na chanzo wote ni maskini tena mwenye chanzo ni maskini zaidi anayejidanganya kuwa ni tajiri

    Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi. Moja ya kitu ambacho wengi hujidanganya ni kujiona tajiri kwa kuwa na chanzo kimoja huku ukimcheka asiye na chanzo kabisa kuwa ni maskini...
  12. Man Middo tz

    Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  13. figganigga

    Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

    Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa katika majukumu yao. Matiss hao walikimbizwa hospitali ya mjini Tarime kupata matibabu Tarime...
  14. D

    Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
  15. Equation x

    Kuna dalili yoyote tajiri namba moja akapewa wizara huko Marekani?

    Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
  16. M

    Kwa rika lake, Diamond ni Tajiri namba Moja Tanzania

    Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90. Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa Tajiri namba moja Tanzania Kwa watu wa Umri wake Kwa hapa Tanzania, hapa tungeweza kuweka watoto wa...
  17. J

    Polisi Kilimanjaro wadaiwa kushikilia simu za tajiri tukio la kumwagiwa tindikali kada wa CCM Idrisa Makishe

    Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada wa ccm,Idrisa Makishe. Makishe(38)mkazi wa Bomambuzi Manispaa ya Moshi,yupo kitandani akipambania...
  18. M

    Kazi ya kuajiriwa haiwezi kukufanya uwe tajiri

    Wakuu, Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi. Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri. Jamaa anaingia saa 12 alfajiri kazini anatoka saa 11 jinoni lakini tumekutana analia shida. Sisi...
  19. Waufukweni

    Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

    Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao. Soma, Pia: Anaefahamu...
  20. Magical power

    Pythagoras tajiri alie kufa kisa kuogopa maharage

    Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba Kutokana na umaarufu na utajiri wake...
Back
Top Bottom