"
Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana, mkikosana siku ya kesi uwanja mzima unajaa magari ya nyumbani kwao, alafu ukute kuna ndugu zake wengine wapo Nje ya nchi wanafatilia kesi Online, wanatishia kama umeshindwa kulea mtoto wetu tuletee huku Australia tutamlea wenyewe🥱🥱
Huyu mmh anaipenda sana simba
Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom
April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi
Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba
Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale
Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni
Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
Aisee!
Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
(Picha nimetumiwa tu baadae)!
Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.
Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.
Tutafute hela
Hii imetayarishwa zamani lakini inaweza kutupa idea kidogo kuhusu familia tajiri Tanzania.
1. Schegg family
Patrick Schegg. Wana shares CRDB.
Utajiri wao $10.9 million
2. Shirima family.
Michael Shirima .
Precision Air.
$12.2 million.
3. Abdul family.
Naseeb Abdul Juma Isaac
Diamond Platinum...
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
Huu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?
Katika dunia ya sasa...
Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani.
Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:
“Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka
Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa
Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika
Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya bidhaa za kifahari Richemont inayomiliki 'brand' kama Cartier na Montblanc
Utajiri wake umeongezeka...
Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania.
Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho.
Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu.
Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji.
Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
Moja kwa moja swaaaaah kwenye mada
Niko uwanja sahihi unashangaa baiskeli kuingia kituo chakujazia mafuta
Au unashangaa kiwanja cha mpira wamiguu nimeingia na kama mchezaji wa gofu basiii ata bien alisema apa ni mbwembwe
Wadau wasiasa huku kwenye kiwanja chenu nako kibango bhana kimetaradadi...
"Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe
Chanzo: Young...
Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023:
1. China - GDP: $14.72 trillion
2. Japan - GDP: $5.11 trillion
3. India - GDP: $3.18 trillion
4. South Korea - GDP: $1.66 trillion
5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.