takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  2. TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa vituo vya kazi kwa waajiriwa wa idara ya elimu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthness Kibwengo akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo, amesema...
  3. SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  4. Geita: TAKUKURU yabaini ‘upigaji’ miradi ya Tsh bilioni 18

    Miradi 15 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 18.3 Mkoani Geita imebainika kuwa na upungufu wa kutozingatiwa kwa vigezo na masharti ya mikataba, hiyo imesababishwa na kukosekana kwa usimamizi wa wataalamu wa Halmashauri. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebainisha na kueleza hayo...
  5. Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria...
  6. Kilimanjaro: TAKUKURU yaingilia sakata la Meya aliyeng’olewa Moshi

    Juma Raibu Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imethibitisha kuwa inamchunguza aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ambaye alivuliwa wadhifa huo Aprili 11, 2022, kwa tuhuma mbalimbali. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes alisema walipokea taarifa na...
  7. TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

    Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao. Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
  8. TAKUKURU imeokoa Sh bilioni 29, imetaifisha mali za Sh bilioni 1.2

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, imetaifisha mali zenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 1.2 na kuweka zuio la fedha kiasi cha shilingi milioni 495.5 pamoja na mali zenye thamani ya shilingi bilioni 2.6 huku ikifanikiwa...
  9. TAKUKURU na Uhamiaji, Mchunguzeni Jitendra Shechwat wa Kiwanda cha Pepsi(SBC LTD). Anatuhumiwa kwa Rushwa na Unyanyasaji

    Ndani ya Kampuni inayotengeza Vinywaji baridi vya Pepsi(SBC LTD). Kumekuwa na Ubaguzi, Unyanyasaji na Uonevu wa kila aina kutoka kwa Wenzetu wa India. Hivyo tunaomba TAKUKURU, Uhamiaji na Wizara ya Kazi ilifnayie kazi. Wafanyakazi Walishawahi kumuandikia Barua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU...
  10. TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate Manispaa ya Kinondoni jijini hapa. Akizungumza mwisho wa wiki iliyopita, Wakili wa GSM, Alex Mgongolwa...
  11. DPP Mwakitalu: Uhalifu haulipi, Ukikamatwa na TAKUKURU tunakupa adhabu na Mali zako zinataifishwa

    MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali zitataifishwa. Amesema Rushwa ni janga kubwa na athari zake zinaonekana katika ngazi ya taifa na...
  12. Naomba kueleweshwa machache kuhusu TAKUKURU

    Habari zenu wakuu! Hii idara ni pana sana ila naomba kujua kama mtu anaweza kuajiriwa huko bila kupitia jeshi?Vp utaratibu wao wa kuajiri upoje? Wana vitengo kama ilivyo jeshini au ni vipi ndugu zangu? Shukrani sana
  13. TAKUKURU kurekebisha makosa kwa kupunguza majina yaliyojirudia bado haijanishawishi kuja oral

    Takukuru ni Moja ya Taasisi nyeti sana na ambayo inapaswa isimame katika misingi ya haki kwani hata majukumu yake yamejikita katika kutenda na kutetea haki. Hivi karibuni mmetoa orodha ya majina ya vijana mliowaita kwenye usaili wa ana kwa ana oral interview, orodha ambayo imeacha maswali mengi...
  14. Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  15. Ushauri: Rais Samia vunja TAKUKURU na iundwe upya

    Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji. Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
  16. K

    TAKUKURU mnapofumbia macho Rushwa ya Trafiki mnazidi kuwachonganisha wanyonge na Serikali

    Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku. Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
  17. R

    Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

    Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu. Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu. Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
  18. T

    Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

    Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000. Napata tabu sana kuelewa...
  19. Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

    Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi. Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8...
  20. Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

    Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa 1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani 2. Ripoti ya Ufisadi Bandari 3. Ripoti ya CAG 4. Ripoti ya BOT Sasa ni wakati wa wananchi kusikia nani na nani walihusika na warudishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…