Habari!
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) au PCCB ivunjwe maana inaiongezea serikali gharama za uendeshaji. Manufaa yake ni kidogo sana, taasisi zingine ndani ya serikali hii ya JMT zinaweza kufanya majukumu yanayofanywa na PCCB.
Nina miaka 7 ndani ya serikali, sijawahi kuona...
Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel".
Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT.
Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake.
Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.
Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG...
Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo.
Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana.
Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo.
Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu.
Mpaka sasa hatujui waliopiga...
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
hali
hayati
jpm
kibanda
kina
kisasa
kuchunguza
laki tano
majaliwa
milioni
miradi
miradi mikubwa
mlinzi
ofisi
picha
takukuru
tozo
ujenzi
umerudi
veta
wakamatwe
wote
Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA
Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya
Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini...
Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa.
Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi.
Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya Manzese anakuja mgambo ajiitaye afisa mazingira, na kazi yake kwa kushirikiana watendaji wa mitaa...
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
Amani iwe nanyi wanajukwaa
Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada.
Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata.
Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine
LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020
Manjis Logistics Limited of P.O. Box...
Ninawasalimu wanajukwaa nimatumaini kumekucha salama na mnaendelea na majukumu.
Kuna wakati niliandika uzi kuelezea namna ambavyo aliyekua mkurugenzi Tanga jiji alishiriki kuwatuliza Takukuru wasimzonge dada mmoja hivi ambae alifanya ubadhirifu wa mchana kweupe na akawa haogopi.
Tena ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.