Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!!
Hatusikii kashikashi yoyote...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah.
Kauli hiyo ameitoa leo...
Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
Agizo limetolewa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mustapha Mohamed Siyani akiitaka TAKUKURU kuchunguza tuhuma za Watumishi hao kupokea Rushwa kwa njia ya Miamala ya Simu.
Akizungumza wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt. Rashid Chuachua amewatuhumu...
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below:
1.0 INVESTIGATION OFFICERS II (220 POSTS)
1.1 Required Qualifications:
1.1.1 Academic Qualifications:
Applicants...
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU.
Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
Januari 11, 2023 imefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECO.NO. 1/2023 Katika Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Mariam Mchomba.
Washitakiwa ni Bw. REUBEN NDIZA MFUNE, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali na Bw. JUMA MASATU...
James Alex mkazi wa Vibaoni na Ally Waziri, Mkazi wa Bomani aliyekuwa mlinzi wa ofisi, wamepandishwa Kizimbani wakikabiliwa na makosa 4 yanayohusu tukio hilo
Watuhumiwa walitenda kosa hilo Novemba 30, 2022 kwa kuiba Bastola 2 zenye usajili wa CAR NO F. 40326W na Risasi 15 na nyingine yenye...
Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo.
1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa)
2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma.
Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
Habari za mapumziko,
Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe.
Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono.
Inasemekana...
Habari za mapumziko wana jamvi
Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
Tanga. Watu wasiojulikana wamevunja mlango wa ofisi ya Kamanda wa Takukuru wilayani Handeni na kuiba bastola mbili zilizokuwa na jumla ya risasi 21.
Habari zilizolifikia Mwananchi jana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Henry Mwaibambe zinasema tukio hilo lilitokea usiku wa...
Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite.
Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP.
TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA.
Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa watanzania utadhani sio raia wa nchi hii.
Mwezi may 2021,Mkurugenzi wa mashtaka nchini Silvester...
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi
Pamoja na hatua...
Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika.
Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.