takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    TAKUKURU chunguzeni sababu za Mkulima aliyewashtaki Mawaziri kutotangazwa na vyombo vya habari

    TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo vingi vya habari. Majuzi Mkulima huyo alifungua rasmi shauri hilo na kutangazwa na Kituo cha TV cha...
  2. KJ07

    SoC03 Kushirikiana kwa Pamoja: Jinsi TAKUKURU Ilivyofanikiwa Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na wananchi wote. Hata hivyo, kulikuwa na changamoto nyingi zilizokuwa zinakwamisha jitihada za TAKUKURU...
  3. peno hasegawa

    Tabora: Aliyekuwa Mkurugenzi Iguwasa kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi. Tabora. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...
  4. ACT Wazalendo

    Pavu Abdallah: TAKUKURU nayo ikaguliwe na CAG

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MUUNGANO-ACT WAZALENDO NDG. PAVU ABDALLAH JUMA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. Mlalamikaji daily

    Wizara ya Fedha, BoT na TAKUKURU imulikeni Letshego /Faidika Tanzania ni majambazi

    Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi, Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20) Toka Juni 2021...
  6. comte

    Mkwasa: Yusuph Manji alipakaziwa TAKUKURU kuuza jezi za Yanga wakati haikuwa kweli

    Anasema licha ya changamoto ambazo Manji alipitia, lakini aliibeba klabu hiyo wakati wa uongozi wake na hadi anaondoka Yanga, pesa aliyoikopesha klabu hakuwa amelipwa. "Alitoa pesa nyingi na hazikurudi hadi anaondoka Yanga, nikiwa katibu mkuu niliitwa Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  7. sifi leo

    TAKUKURU amka uliponye Taifa

    Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote! Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana! Ndugu zangu, mimi Sifi Leo tangu isomwe ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali mbele ya Rais nimeamua kila ifikapo saa...
  8. Stuxnet

    Ripoti za CAG na Ufisadi: Ni kipindi cha TAKUKURU kutajirika

    Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia...
  9. Hismastersvoice

    TAKUKURU chunguzeni utajiri wa timu ya SINGIDA BIG STARS.

    Ni wazi SINGIDA BIG STARS ilianza kuonesha ukwasi baada msingida mshika kibubu chetu kuteuliwa, huyu mheshimiwa alianza na matengenezo ya viwanja vyetu vya mpira vilivyoporwa na CCM kukarabitiwa kwa kutumia pesa za serikali! Leo nimesikia klabu hiyo imemlipa mchezaji shs 100,000,000/=! Ili...
  10. Boss la DP World

    Mtwara: TAKUKURU Yamfikisha Mahakamani Hakimu Mkazi, Mussa Esanju kwa Tuhuma za Kupokea Rushwa

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara, imemfikisha Mahakamani, Hakimu Mkazi wa Mtwara, Mussa Esanju kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kiasi cha Sh. 50,000 kutoka kwa Mtuhumiwa mmoja aliyefikishwa mbele yake. Hakimu Mussa amefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa...
  11. benzemah

    Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  12. J

    Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

    Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI. Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge. Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni...
  13. M

    TAKUKURU wachunguzwe na CAG, wabadhirifu wa mamilioni wanyongwe

    Nimejiuliza kwanini hao TAKUKURU ofisi yao haikaguliwi na CAG. Hii nikwasababu ndani ya ofisi hiyo kuna walarushwa na wabadhirifu. Kuna kesi wamezikaliatu wala hawapepesi macho kuzipitia. Huu ufujaji unaotokea TAKUKURU wanamahali wamepwaya. Nchi nzima inanuka ubadhirifu, mikataba hewa...
  14. ChoiceVariable

    TAKUKURU: Bililioni 15.7 za NHIF, NBC, DART zafanyiwa ubadhirifu

    RIPOTI TAKUKURU: DART, NBC NA NHIF ZIMEKUTWA NA UBADHIRIFU WA TSH. BILIONI 15.7 Mkurugenzi Mkuu wa #TAKUKURU, Salum Hamduni amesema hayo wakati akiwasilisha mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, Ripoti ya Uchunguzi wa Majalada 1,188 ya #Rushwa yakiwemo 16 ya Rushwa kubwa Hamduni amesema kati ya...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  16. BARD AI

    TAKUKURU yabaini madudu kwenye miradi ya Tsh. Biilioni 6.5 Mwanza

    Miradi 22 yenye thamani ya zaidi ya Sh6.5 bilioni iliyochunguza na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) mkoani Mwanza imebainika kuwa na mapungufu kadhaa ikiwemo ukiukwaji wa taratibu za manunuzi, kasi ndogo ya utekelezaji na ubora hafifu. Kwa mujibu wa Mkuu wa...
  17. Hot bird

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  18. benzemah

    Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  19. HaMachiach

    Walimu na Chama cha Walimu wasubiri kwa hamu hukumu ya Deus Seif na Abubakari Alawi kesho tar. 17 Februari 2023

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  20. BARD AI

    TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
Back
Top Bottom