takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAKUKURU yamkamata mtumishi wake Zainabu Mohamed Jabir kwa kuomba rushwa ya Tsh milioni 50

    Unaweza kudhania ni hadithi, lakini ndio ukweli wa mambo. - AFISA WA TAKUKURU AKAMATWA KWA KUOMBA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 50 Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, napenda kuufahamisha umma kwamba, Taasisi ya Kuzuia...
  2. TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
  3. S

    Mtazamo wangu dhidi ya TAKUKURU

    Takukuru ni chombo cha kumulika na kuwaangza watoaji, wala rushwa na hata wanaoishabikia. Inaonekana kwamba aidha kuna Takukuru ambao wanafanya kazi sana au wengine hawaonekani kufanya kazi kutokana na maeneo kwakua labda hakuna vitendo vya rushwa au hao takukuru wenyewe ni wala rushwa...
  4. Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

    TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai. Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6. Hizi ni baadhi ya Kesi...
  5. TAKUKURU: Nyama zinafukuliwa na kuuzwa tena Kahama

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imebaini uchinjaji holela wa mifugo katika Manispaa ya Kahama na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuzifunga machinjio zote zinazoendeshwa kienyeji. Katika ripoti yake iliyotolewa jana na Mkuu wa Takukuru...
  6. B

    Udhaifu wa TAKUKURU

    Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani? Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa kamili kupitia vyombo vya habari na hatua zakuchukua. Lakini pia hakuna siku wananchi wanyonge...
  7. Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

    Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la . Tuendelee kufuatilia . ==== Takukuru yamwachia ‘bosi’ bandari, “waulizwe CAG” MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  8. DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  9. Takukuru Kilimanjaro yamfikisha mahakani wakili Emanuel Mlaki, je mawakili huomba rushwa?

    TAARIFA: Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, imemfikisha mahakamani, Wakili Emmanuel Mlaki akituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh.300,000.
  10. Meya Moshi awakabidhi wazabuni wanane kwa TAKUKURU

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamtwa kwa wazabuni wanane wanaodaiwa kula fedha za Halmashauri zaidi ya Sh47 milioni pamoja na viongozi wa vikundi 45 vya asasi za kuweka na kukopa (Vicoba). Viongozi hao wanadaiwa kuwa wameshindwa kurejesha zaidi ya Sh94 milioni...
  11. Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

    Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
  12. T

    Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan. Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  13. Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

    Mhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.
  14. TAKUKURU Songwe yamrejeshea mkopaji nyumba ya TSh165 milioni

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni mali ya Jacob Masebo (62). Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe, Damas Suta amesema, Masebo alikopa Sh15milioni...
  15. Wanafunzi wa Kunduchi Girls wafanya mgomo kwa zaidi ya siku 2. TAKUKURU yaanza kumchunguza Mmiliki

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri, Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291, Nukushi: 26232332 41101 DODOMA, BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA. Tovuti: www.pccb.go.tz Unapojibu tafadhalitaja: TAARIFA KWA UMMA...
  16. TAKUKURU kuanza kushughulikia kesi za mimba za utotoni zinazomalizwa kinyemela mitaani

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeagizwa kushughulikia kesi za mimba za utotoni ambazo zimekuwa zikiishia mitaani badala ya kwenda kwenye vyombo vya sheria. Vilevile, imeagizwa kufanya utafiti kuhusu rushwa ya ngono kwa vyuo vikuu vingine na vyuo vya kawaida, kama...
  17. Takukuru yaburuza kortini watumishi wanne Stamigold

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera, imewafi kisha mahakamani watumishi wanne wa Kampuni ya Stamigold kwa mashitaka ya matumizi mabaya ya ofi si, kujihusisha na vitendo vya rushwa na kuisababishia ofi si hasara ya Sh bilioni 1.1 mwaka 2016/2017. Mkuu wa Takukuru...
  18. Kagera: Dennis Joseph Sebugwao, aliyekuwa Meneja Mkuu wa STAMIGOLD na wenzake watatu, wapandishwa Kizimbani

    ALIYEKUWA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA STAMIGOLD NA WENZAKE WATATU WAPANDISHWA KIZIMBANI-KAGERA TAARIFA KWA UMMA Februari 19, 2021 Ndugu wanahabari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya...
  19. TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  20. TAKUKURU Simanjiro yamshikilia Mwenyekiti mstaafu wa Kimotorok na mjumbe wake

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, inamshikilia Mwenyekiti mstaafu wa Kijiji cha Kimotorok, Merubo Parimelo na mjumbe mstaafu wa Serikali ya Kijiji hicho Daniel Melau. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu amesema watuhumiwa hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…