takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning_star

    TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  2. BARD AI

    Kwanini Ripoti ya Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU inaishia kwa Rais badala ya kuwekwa wazi ili Umma uijue?

    Kila mwaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) huwa inatoa Ripoti ya Taarifa ya Utendaji Kazi ambayo hukabidhiwa kwa Rais kwaajili ya hatua mbalimbali. Lakini Ripoti hiyo haiwekwi wazi kwa Umma kutokana na kubanwa na Sheria ya Kupambana na Rushwa ambayo haijaweka takwa hilo Je...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 TAKUKURU: Tunaendelea kuchunguza madai yaliyotolewa na Lissu kuhusu fedha chafu ndani ya CHADEMA

    Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma dhidi ya chama chake akiwa kwenye mkutano wa hadhara mjini Iringa. “Uchunguzi ni ‘process’ na inachukua...
  4. HONEST HATIBU

    SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  5. A

    DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  6. L

    Pre GE2025 TAKUKURU kuchunguza madai ya Rushwa ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA. Rai yangu ni kuwa ni muda sasa Lissu akatoe ushahidi wake wa Vitendo vya rushwa. Maana Lissu ndio amesikika...
  7. Pdidy

    TAKUKURU chunguzeni barabara ya Bonyokwa, Tanroads mnaandika vunja mita 3.4 halafu baadae mnaandika mita 11. Kuna nini kinaendelea?

    Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia. Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara. Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4 ina ukuta wa kijani. Mpaka sasa hajavunja, alichofanya aliita Tanroads wakapima tena ghafla...
  8. K

    TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
  9. BARD AI

    TAKUKURU yakamilisha uchunguzi wa DED aliyedaiwa kwenda China kwa fedha za Halmashauri

    Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi. Uchunguzi huo ulioanza mwanzoni mwa Novemba 2023, ulitokana na agizo la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
  10. Roving Journalist

    Katavi: TAKUKURU yabaini usimamizi mbovu katika miradi ya Serikali

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema miradi inayotekelezwa na Serikali kwa manufaa ya Wananchi inashindwa kukamilika kwa wakati kutokana na baadhi ya Watumishi wa Serikali kushindwa kuisimamia ipasavyo. Maijo amesema Watumishi wa...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  12. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  13. R

    TAKUKURU isiongozwe na Askari. Inahitaji katiba ya Dkt. Hosea kuifufua

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa imekabidhiwa mikononi mwa wanajeshi na Askari. Kazi hii aliifanya Magufuli kwa lengo la kumwezesha kutoa amri ya kutimiza malengo yake . Baada ya JPM bado aliteuliwa Afisa wa Polisi kuongoza taasisi hii. Madhara ya uteuzi ule ni kwamba taasisi imeacha...
  14. Kichuguu

    TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo ni kweli basi kuna uvunjaji wa sheria za nchi zinazozuia rushwa; hivyo TAKUKURU inatakiwa ilifanyia...
  15. Pfizer

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yatoa mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa (TAKUKURU) wa Wilaya zote Nchini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Simbachawene aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
  17. Jamii Opportunities

    Onyo kwa Matapeli ajira za TAKUKURU

  18. T

    Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  19. Jamii Opportunities

    Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Position: Investigation Officers II (250 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from recognized learning institutions in any of the following fields; Civil Engineering, Building...
  20. Jamii Opportunities

    Assistant Investigators III (100 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Assistant Investigators III (100 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess Certificate of Secondary (CSE), Basic Technician certificate, or Diploma from a recognized learning institution in one of the following categories; National Service’s...
Back
Top Bottom