Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana...
Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...