tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Amuua mke wake kisa tamaa ya mali

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
  2. Je, CCM Inapaswa Kulaumiwa kwa Vijana Kupoteza ari ya Siasa nchini? Tafakari Kuhusu Elimu ya Siasa Tanzania

    Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
  3. Jinsi tulivyoishinda tamaa enzi zetu wahenga

  4. Mashairi maalulum kwa pisi kali ambazo tabia ni F na tamaa zimewameza

    Ukimuona utadhani malaika/ Kwa jinsi alivyo umbika/ Jicho la kulainika/ Kiuno kimebinuka/ Tumbo limefutika/ Mpodo umejazika/ Sauti yake tamu hakika/ Yaani mtoto kakamilika/ Ana haiba ya kutukuka/ Na msafi mithili ya paka/ Ni mrembo alopambika/ Na anavutia kwa kila rika/ Ukimuona...
  5. Walimu acheni tamaa za ovyo

    Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi. Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
  6. Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

    Wanajamvi habari za muda huu. Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa...
  7. Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  8. R

    Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

    Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu. Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye...
  9. Baba mzazi wa Mchekeshaji Hakika Ruben adai amekata tamaa na mwanaye, asema Dunia ndio itamfunza

    Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha maswali mengi. Licha ya kuwa Hakika mwenyewe hajatoka hadharani na kutoa ufafanuzi rasmi kuna mambo...
  10. Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

    Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke. 1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni. 2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_ 3...
  11. Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

    Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
  12. Feisal Salum tamaa Yamponza, Azam yamkataa kwenye kesi yake

    Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku na kule kupata suluhu ya mkataba wake na timu ya wananchi (Yanga Sc). Baada ya kulazimisha kuvunja...
  13. L

    Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

    Y
  14. Vijana, tusikate tamaa ya maisha: BABUTALE, mwanasiasa nguli, atunukiwa udaktari wa heshima

    Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
  15. Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  16. Tamaa za maisha zinavyowapoteza mapunda wa madawa ya kulevya

    Inasikitisha kuwa vijana hawajifunzi kila siku kupelekea kurudia makosa hayo hayo. Imekuwa mtindo sasa vijana kuwekwa rehani kwa suppliers wa madawa ya kulevya Pakistan na Iran na 'matajiri' kuchukua mzigo kwa mali kauli. Mwisho wa siku waliowekwa rehani wanatalekezwa, waliochukua mali maisha...
  17. Abrahim Ajib awakatia Tamaa mashabiki wa Mpira

    Dogo amenifanya nicheke sana kwa hili jibu lake.
  18. M

    Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  19. M

    Wana Crypto tusikate tamaa mwaka 2023 ni wakutajirika

    Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli. Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri. Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio wakati wa kununua na kutrade. Wajanja watakaosoma huu uzi na kuutilia maanani watanikumbuka baada...
  20. Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…