tamisemi

  1. A

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa. Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira. Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies? Je, mbona...
  2. Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

    SCENARIO Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya. Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira... FLACK BACK Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu. Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo. Hebu cheki...
  3. Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje) Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati...
  4. Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

    Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
  5. Mfumo wa Tamisemi unabadilisha mwezi wa kuzaliwa wa muombaji

    Hii kitu ilijitokeza 2020, mfano mtu unaitwa John Mutalemwa Koku, umezaliwa, 7/9/1996, ukisave pale kwenye personal details. Jina linabadilika na kuwa John Mtalemwa (wameondoa U) Koku. Kwenye tarehe itasomeka 7/8/1996, what is this folks
  6. TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  7. A

    TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  8. Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
  9. A

    TAMISEMI haijapata Waziri

    Ndugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa 1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu 2. Unasoma bajeti iliyopita kwa makosa makubwa wewe hukuwa na rehearsal kabla? 3. Hospital hazina watumishi...
  10. TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Wizara ya TAMISEMI imesahihisha taarifa yake iliyosomwa bungeni leo Aprili 14, 2022 na Waziri wa Wizara hiyo Innocent Bashungwa na kusema kwamba, Pikipiki za maafisa ustawi wa jamii zilizonunuliwa zilikuwa ni 268. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Aprili 14, 2022, na Mkuu wa kitengo cha...
  11. TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  12. A

    Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  13. Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

    Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG? Shirika la...
  14. I

    Maslahi duni ya Walimu: Waziri wa Elimu na wa TAMISEMI wanafanya nini ofisini?

    Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession? Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary. Kwenye...
  15. Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  16. N

    Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  17. Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  18. F

    TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  19. A

    Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

    Naamini kwa uwezo wa maanani mpo vyema na mnaaendelea vizuri na kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Huko Tamisemi kwa Katibu mkuu huwa kuna nafasi za uteuzi anazifanyaga mfano wakuu wa idara n.k. Kwa upande wa idara yetu ya elimu huku kwenye halmashauri kuna nafasi kama afsa elimu taaluma...
  20. Tamisemi ndani ya Bashungwa

    Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba! Watanzania tumepata dume .....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka! Mwenye kapicha Bashungwa akicheka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…