TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema...