tani

Daniel M. Tani (born February 1, 1961) is an American engineer and retired NASA astronaut. He was born in Ridley Park, Pennsylvania, but widely considers Lombard, Illinois, to be his hometown.With Peggy Whitson, Tani conducted the 100th spacewalk on the International Space Station.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tani 128 za dengu zakamatwa zikitoroshwa - Mnayara

    Mamlaka ya Uthibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko Nchini (COPRA), kwa kushirikiana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, imekamata tani 128 za dengu zilizokuwa zikitoroshwa mpakani mwa Singida na Manyara. Mazao hayo yalibainika kukosa kibali cha usafirishaji kutoka mamlaka husika na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Evans Alfred Mtambi: Viuatilifu karibu Tani 2,000,000 na mbole Tani 10,000 zimepokelewa mkoa wa Mara miaka 4 ya Rais Samia

    Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya Rabour (Rorya) – TSh milioni 982.82. Lengo ni kuongeza uzalishaji na kipato cha wanufaika. Pia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

    Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Tani Boy kaharibu

    Kaambiwa weka gari pale kaweka mtaloni😂
  7. JamiiForums Tanzania Nina Takribani Tani 16 za maharage mekundu. Bei ipoje Dar?

    Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
  8. JamiiForums Tanzania Mpunga-kutaanzishwa kilimo kikubwa cha umwagiliaji cha zao la mpunga lengo ni kuzalisha tani million 50 na baadae tani million 200+ inawezekana

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
  9. JamiiForums Tanzania Ngano-kutaanzishwa kilimo kikubwa cha umwagiliaji cha zao la ngano lengo ni kuzalisha tani million 50 na zaidi kwa mwaka

    Asilimia kubwa sana ya ngano inayotumika viwandani inakua imported Sasa nikiwa Rais wa Tanzania yale mashamba kule hanang ya ngano yatarudishwa na kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha ngano cha umwagiliaji lengo ni kuhakikisha kwa mwaka tunavuna ngano zaidi ya tani million 50
  10. JamiiForums Tanzania Kutaanzishwa kilimo kikubwa cha alizeti na mchikichi lengo ni kuzalisha tani million 20 kwa mwaka

    Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida, singida, kigoma, tabora n.k Lengo ni kuzalisha zaidi ya tani million 20 za alizeti na tani million...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  13. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtama (Sorghum) tani 70

    Habari Wakuu, naomba mfanya biashara wa nafaka tupatane tufanye biashara ya mtama.. requirement kwanzia walau tani 40 kwenda juu.. Asanteni.
  15. JamiiForums Tanzania Bandari ya Mtwara imepokea meli iliyobeba viuatilifu maarufu kama salpha tani 9,202

    Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
  16. JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m

    Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m . Full AC 2830cc Manual Diesel Gari ni mpyaaa . Bei: TZS. 35m . 0717 650800
  18. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  19. JamiiForums Tanzania Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde - Benki Kuu (BoT) Yanunua Tani 2.6 za Dhahabu Inayochimbwa Nchini

    WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI ▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570 ▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye hifadhi kubwa ya dhahabu Afrika Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…