Serikali katika suala la elimu ihakikishe
Inatatua changamoto ya uhaba wa walimu kwa baadhi ya shule
Ukosefu wa vifaa vizuri vya kufundishia na kujifunzia
Kuongeza mashule hususani katika maeneo yenye uhaba wa shule
Kuandaa mitaala itakayowafanya wanafunzi kujifunza uhalisia wa changamoto...
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha mbinu kadha wa kadha wanazotumia wanajeshi wakiwa vitani. Ni jambo la kuvutia na kusisimua sana...
Tanzania Tuitakayo, huweza kuja kwa kuwa na taifa moja ambalo ni rafiki zaidi ya ndugu (Special Relationship) kama urafiki (Special Relationship) uliopo kati ya mataifa yaliyoendelea zaidi duniani; USA na UK.
'Special Relationship' ni uhusiano wa kidiplomasia wenye nguvu, wenye umuhimu na wa...
Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya maeneo hususani vijijini.
Katika Tanzania tuitakayo serikali kwa kushirikiana na wananchi tunatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.