Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi, yanayoathiri mazingira, uchumi, na jamii kwa ujumla. Insha hii inahoji kuwa Ziwa Viktoria si sifa ya...
Utangulizi
Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2027, ambayo pia inajulikana kama AFCON 2027 au CAN 2027, imeratibiwa kuwa ni...
ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE.
Chanzo: Google Help
Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali tunahitaji kufanya mchanganuo na...
Linapokuja suala la sayansi na uvumbuzi tunakubaliana kwamba, ni fursa kubwa na yenye soko kubwa na la uhakika duniani kwote.licha ya Tanzania kutokuwepo kwenye orodha ya nchi zinazoongoza kwa ubunifu na uuzaji wa teknolojia duniani ,lakini Bado nchii hii Ina nafasi ya kuwekeza na kuwa nchi...
Kutokana na wasifu wangu inavyoweza kujulikana ni kwamba elimu ni muhimu Sana kwetu na ni msaada mkubwa Kwa jamii zetu.
Hapo basi elimu ni maarifa ya ziada yanayotusaidia sisi katika kupambana katika kukidhi mahitaji yetu binafsi na isitoshe elimu pia ni mojawapo ya njia ya uwakilishi wa cheo...
TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii.
Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
Kuelekea uchumi wa viwanda Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja mbalimbali za ubunifu wa kiteknolojia, uwepo wa nguvu kazi, malighafi, wawekezaji, ambapo tegemezi lake Kubwa ni miundombinu kama vile barabara na umeme ambapo vitu hivi ndivyo vimekua ni gumzo kubwa na kufanya...
jiolojia imekuwa ikiwa nyuma katika vipaumbele vya maendeleo ikilinganishwa na wanasayansi na wahandisi katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania.
Sekta ya jiolojia mara nyingi inakabiliwa na ukosefu wa ufadhili na rasilimali ikilinganishwa na sayansi nyingine na uhandisi.Mara nyingi...
Kwa kuzingatia ombi lako, "Tanzania Tuitakayo":
---
Tanzania, nchi yenye utajiri wa asili na utamaduni, imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika miaka ya hivi karibuni. "Tanzania Tuitakayo" ni dhana inayozungumzia matarajio na ndoto za Watanzania kuelekea mustakabali mwema zaidi. Ni...
NISHATI MBADALA - Ni nishati safi, rafiki wa mazingira, afya ya binaadamu na wanyama. Andiko langu linalenga zaidi, MKAA/KUNI TAKA (Briquettes)/MAJIKO BUNIFU(Cooking Stoves), inayotokana na malighafi(Materials) za bure/rahisi zinazopatikana kwenye mazingira yetu bila kuathiri mazingira...
Kilimo ni moja ya sehemu ya ukuaji wa nchi na ni moja kati ya sekta iliyo ajili watu wengi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea kama Marekani.
Serikali ya Tanzania inahitaji kuwekeza nguvu katika sekta hii ili kupunguza ukosefu ya ajira hasa kwa vijana maana idadi ya vijana wenye ukosefu...
Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizo na idadi kubwa ya mifugo barani Afrika. Sekta ya ufugaji ni muhimu sana katika uchumi na maisha ya watu wa Tanzania. Idadi kubwa ya mifugo inajumuisha ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, na aina nyingine za wanyama wa mifugo.
KUHUSU WAFUGAJI
Wafugaji waliopo...
Sehemu ya Kwanza: Kuanzisha Misingi
Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inaendelea na safari yake ya kufikia ustawi na maendeleo endelevu. Safari hii imejaa changamoto na fursa, lakini kwa kujizatiti na kutumia mawazo mapya, Tanzania inaendelea kusonga mbele kuelekea Tanzania tuitakayo...
Kwanza nipende kushukuru kwa kupata kufahamu juu ya fursa hii, watanzania wote wanaweza kutoa mawazo yao tofauti tofauti,
Pia nichukue nafasi hii kuipongeza serikali toka awamu ya tano na ya sita walipojitahidi kufanya vema katika sekta ya elimu kwa kumruhusu elimu iwe bure pasipo kulipa ada...
Utangulizi
Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa vyuo vinavyodahili wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kupata angalau D nne, hawa wanafunzi huwa...
In the heart of East Africa, Tanzania stood poised at a crossroads, facing the dawn of a new era—Tanzania Tuitakayo, the Tanzania we desire. With a vision set on the horizon of the next five years and beyond, the nation embarked on a transformative journey, fueled by innovation and propelled by...
"Tanzania, njia ya mafanikio, tunakumbatia fikra mpya, tukiendeleza rasilimali zetu na uvumbuzi. Kwa miaka ishirini na tano ijayo, tunajiwekea malengo ya kubadilisha uchumi wetu kupitia viwanda vya hali ya juu, kilimo cha kisasa, na utalii endelevu.
Tufanye maamuzi ya busara kuhusu matumizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.