TANZANIA TUITAKAYO.
Being a citizen of the country like Tanzania is a blessing and it is a something that I am always proud of, for the fact that it is a beautiful place that everybody wishes to stay not only because of its peacefulness but also the way it has been endowed with various...
Utangulizi
Tanzania kama nchi nyingine yingi zinazo endelea inakabiliwa na ukopaji wa fedha kutoka Kwa wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufadhili bajeti ya Taifa. Utatuzi wa changamoto hii unahitaji maoni si ya wataalamu na viongozi wa kisiasa pekee, bali kuwapa nafasi wananchi...
Tanzania Tuitakayo ni nchi yenye maono ya kipekee ambayo inalenga kuwa na jamii yenye uwezo wa kujiajiri na kujitegemea bila kutegemea serikali. Maono haya yanazingatia kuimarisha miundombinu wezeshi ambayo itawawezesha wananchi, hasa vijana, kukuza vipaji na ujuzi wao ili waweze kujiajiri na...
Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu.
Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na kushiriki kikamilifu katika siasa na maendeleo ya jamii.
Tanzania yenye vijana waonajiamini na walio...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii. Hata hivyo, ili kufikia ndoto yetu ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo. Hapa, ninapendekeza mawazo yenye ubunifu ambayo yanaweza kuleta...
Utangulizi:
Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
TANZANIA TUITAKAYO
Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itabana mianya ya rushwa, Rushwa ni tishio kubwa kwa uwajibikaji na utawala bora. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kupambana na rushwa kwa kuweka mifumo ya udhibiti, kukuza uwazi, na kuwachukulia hatua wale wanaojihusisha na vitendo...
AFYA: Tanzania kama nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijay, sasa kama nchi tufanye mabadiliko sehemu zifuatazo
- Huduma ya Afya ipatikane maeneo yote nchini hata vijijini...
Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia
Na Alpha Isaya Nuhu
Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
Nchini Tanzania mikopo hii hutolewa na halmashauri kwa makundi maalum yanayostahili kupata mikopo hiyo makundi hivyo ni vijana, wanawake na wenye ulemavu ambapo vijana ni asilimia 4%, wanawake ni asilimia 4% na walemavu ni asilimia 2%. Mikopo hii ina umuhimu mkubwa katika jamii hasa katika...
Watanzania wengi tumekuwa na ndoto na malengo ya kutaka Tanzania yetu kuwa yenye maendeleo na vile tuitakayo, baada ya uhuru wa Tanzania mikakati mingi iliwekwa Ili kuletea maendeleo Kwa watanzania. Baba wa taifa mwalimu Julius K. Nyerere aliweka mikakati thabiti Ili kukuza maendeleo Kwa watu...
Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) umeibuka kuwa dhana maarufu sana Duniani, Afrika na hususani Tanzania, huku makampuni yakizidi kujishughulisha na shughuli za uhisani. Hata hivyo, Makala hii itakwenda kuonesha uhitajiwa wa mtazamo kamili zaidi wa CSR ni muhimu ili kufikia maendeleo endelevu na yenye...
Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
Utangulizi
Tanzania tuna umuhimu wa kufanya mageuzi ya kina katika sekta ya elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Ninatoa maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha mfumo wa elimu kwa miaka 5 hadi 15 ijayo, yakizingatia mabadiliko ya...
Ninasimama hapa leo, siyo kama mtazamaji tu, bali kama mshiriki mwenye shauku katika kuunda Tanzania tunayoitamani.
Tanzania Tuitakayo sio ndoto ya mbali, bali ni dira wazi inayoongozwa na maono ya pamoja ya ustawi, amani, na fursa kwa wote. Ni safari ya miaka 5 hadi 25 ya mabadiliko makubwa...
Tanzania ni nchi ambayo iko uchumi wa kati kutokana na ukuaji sekta mbalimbali za kiuchumi lakini bado ina safari ndefu ya kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumi imara kama baadhi ya nchi ulaya na Marekani. Hii hutokana na changamoto mbalimbali za kijamii pamoja na kutokuwa na mifumo mizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.