UTANGULIZI:
(TAARIFA YA TCRA). 12 Mei 2024, mnamo majira ya saa tano asubuhi, kulikuwa na tatizo la upatikanaji wa huduma ya intanenti nchini. Taarifa za awali zimeonesha kuwa tatizo hilo lilisababishwa na hitilifu kwenye MKONGO WA MAWASILIANO WA BAHARINI wa kampuni za SEACOM na EASSY kati ya...
MWANZO
Mfumo wa elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili yakua hazina kwa taifa la kesho kutokana na mtaala uliopo. Mtaala huu hauna dira bora kwa ajili ya taifa tulitakalo kwasababu mtaala huu hauandai watu wenye ubora unaohitajika.
MAPUNGUFU
Elimu iliyopo ni ya nadharia kuliko...
Nchi ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kubwa tangu kupata kwake uhuru, inaendelea kupanua wigo na maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali za kijamii na ina matarajio ya kuendelea kufanya vizuri zaidi katika miaka ijayo hadi kufikia mwaka 2030.hivo bhasi hapa nitaelezea baadhi ya maeneo...
Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo. Hii ni sekta nyeti ambayo inamchango mkubwa katika uchumi wa nchi zaidi ya asilimia 25 na kuajiri nguvu kazi zaidi ya asilimia 75. Lakini sekta hii inachangamoto mbalimbali kama mabadiliko ya tabianchi...
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI.
UTANGULIZI:
Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au michezo miingine ya sasa inayoingizia vijana kipato.
Mwanafunzi wa shule ya msingi anaposoma masomo zaidi...
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu.
Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa namna moja ama nyingine zimewakosesha uelekeo vijana wengi katika kupigania uhuru wao wamawazo na saa...
UTANGULIZI.
👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi.
👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
Utangulizi
Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono haya yanajumuisha mipango ya kibunifu ambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25...
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
Utangulizi
Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne)
Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza kukidhi matarajio ya wanafunzi wengi pamoja na wale wanaohangaika kuwasomesha.
Wakati wanafanya...
UTANGULIZI
Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati.
MATARAJIO YANGU
- Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
INTRODUCTION.
NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar
ity)
👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a society where every citizen has a deep respect for moral and ethical values, often inspired by a fear or...
Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
Bwana Yesu ASIFIWE ....
Assalamualaikum......
Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro
Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
UTANGULIZI.
👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi.
Picha kwa hisani ya mtandao.
👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia,
1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii.
2. Kuzuia Uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.