tanzania tuitakayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    SoC04 Kujenga Tanzania ijayo kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na imara ya utawala

    Kujenga Tanzania ya kesho kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na mifumo imara ya utawala. Kwanza, viongozi lazima wawe na maadili ya juu na wawajibike kikamilifu kwa wananchi, wakiepuka rushwa na kujiepusha na ubinafsi. Pili, sera za maendeleo zinapaswa kuwa na lengo la...
  2. TUKUSWIGA MWAISUMBE

    SoC04 Tanzania tuitakayo na mfumo wa malezi katika lishe

    TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi. Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile unategemea sana uwekezaji kwa binadamu katika umri wa awali wa maisha ya mwanadamu hususani umri 0 -2...
  3. D

    SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
  4. K

    SoC04 Umuhimu wa matumizi teknolojia ya vifaa vya kielektroniki kwenye chaguzi za viongozi Tanzania

    Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za viongozi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Hii itasaidia kwenda...
  5. D

    SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa Rais na Baba wa taifa J.K Nyerere maneno haya yamekuwa yakisemwa na viongozi na wanamapinduzi...
  6. Damaso

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Watoto wetu hazina yetu

    Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
  7. S

    SoC04 Kuimarisha Tanzania yenye maendeleo kwa kizazi cha kesho na kesho kutwa

    UTANGULIZI. Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari. Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya Nchi na kwa mujibu wa sheria wakauchagua utaifa wa Tanzania baada ya miaka kumi na nane. Hivyo basi...
  8. B

    SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  9. Victor Mlaki

    SoC04 Ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu

    Tanzania ni nchi yenye historia inayojieleza vizuri kwa wengi, ukwasi rasilimali na umoja. Katika kuelezea kuhusu Tanzania tuitakayo, ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu. Tanzania tuitakayo ni nchi yenye maendeleo endelevu, usawa, haki kwa wote, uchumi...
  10. G

    SoC04 Tanzania Tuitakayo inapaswa kuwa na Miji ya EcoSmart

    Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na teknolojia kutatua changamoto za mazingira wakati tukiendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
  11. R

    SoC04 Mambo yakuzingatia katika mazingira ili kuijenga Tanzania tuitakayo

    Kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022 imeonesha kuwa Tanzania ina watu wapatao milioni 60+ ikiwa ni ongezeko la watu milioni 20+ kutoka sensa ya mwaka 2012, kwa mustakabari huo ongezeko la idadi ya watu linaenda sambamba na ongezeko la shughuri za kibinadamu...
  12. Gloria the writer

    SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  13. J

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye wataalam wenye majibu ya changamoto zetu katika dunia ya kishindani

    "Ugumu wa maisha kaka umenifanya nifanye kazi hii na kuachana na taaluma yangu. Huu ni mwaka wa tatu nauza simu, maisha yanapaswa kuendelea" Ni kauli ya kijana mmoja pale Makumbusho inayoonekana yakishujaa ila ndani yake yamejaa maumivu kwanza kwa kijana kama alipoteza muda kusomea...
  14. J

    SoC04 Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

    Mwaka 2014, Benki ya Maendeleo ya Afrika iliandaa kongamano lililofanyika nchini Rwanda ambalo nilipata abra ya kusikiliza. Kongamano hilo, lilikuwa linafanya kumbukizi ya kila mwaka ya Benki ya Maendeleo ya Afrika iliyoanzishwa Julai Mosi, 1966; liliongozwa na tafakuri isemayo ‘Uongozi na...
  15. anna gasper

    SoC04 Tanzania tuitakayo, sustainable solution for energy and waste management

    We can see that the biggest problem that is facing our country right now is the production and distribution of energy, which has become a major challenge, especially for communities, businesses, and even various institutions that rely on self-sufficiency through this energy. Inflation in petrol...
  16. B

    SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  17. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni elimu itolewe kwa jamii kuhusu malezi ya watoto hususani Vyuo Vikuu

    Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake. Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
  18. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na uboreshaji wa elimu katika Sekta ya Miundombinu

    UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
  19. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuelekea Maono ya Mabadiliko Chanya

    Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa kuhamasisha wananchi kuibua mawazo mbadala na bunifu yatakayosaidia kujenga Tanzania tunayoitaka. Andiko...
  20. Edson Eagle

    SoC04 Tanzania tuitakayo miaka ya hivi karibuni

    Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama ifuatavyo kwa leo. Wajibu na haki: serikali kupitia wizara husika ihakikishe sasa inatoa...
Back
Top Bottom