tanzania tuitakayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye mfumo bora wa kukomesha ukatili kwa watoto

    UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
  2. Nyanda Banka

    SoC04 Umuhimu wa Katiba Mpya kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yetu iliyojaa amani, umoja, mshikamano na upendo. Jambo kubwa na la msingi ambalo linahitajika na kufaa katika dira ya nchi yetu kwa miaka ijayo ni kama ifuatavyo SUALA LA KATIBA MPYA, ili kupiga hatua katika kila sekta yetu yoyote ile msingi mkubwa ni kuwepo kwa katiba mpya...
  3. nkotany hamenyimana

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  4. L

    SoC04 Elimu ni tunu na zawadi kwa vizazi vyetu mitaala ya elimu ibadilishwe

    Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
  5. Kong xin cai

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  6. M

    SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
  7. Ibun Mallik

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  8. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Taifa la Kujitawala

    Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na serikali ya Tanzania. Kwa muda mrefu sana, tumeacha udhibiti wa bandari zetu, maliasili, miradi...
  9. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itatuleta pamoja watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu

    Tanzania tuitakayo ni tanzania ambayo itatuleta pamoja watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu,dini au kabila. Na Tanzania hiyo itawezekana kuipata kwa juhudi zetu wote watanzania wenye mapenzi mema na taifa hili na ili kuipata Tanzania tuitakayo kuna vitu tunatakiwa tuvifanye kama taifa...
  10. mussason

    SoC04 Tujenge msingi imara wa sekta ya sheria ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Sekta ya sheria ni msingi muhimu wa utawala bora na maendeleo endelevu katika jamii yoyote. Kwa miaka mingi, Tanzania imeendelea kufanya juhudi za kuboresha mfumo wake wa kisheria ili kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote na kuimarisha utawala wa sheria. Hata hivyo, bado kuna...
  11. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  12. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Kurudisha Fadhila ya Asili

    Jua linapochomoza juu ya tambarare kubwa za Serengeti, milio ya ndege na mivumo ya nyumbu hujaa hewani tena. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka – taifa ambalo viumbe vilivyo hatarini kutoweka sio tu vinaishi, bali vinastawi katika makazi yao ya asili. Mahali ambapo shughuli za binadamu zipo kwa...
  13. X

    SoC04 Serikali itumie mbinu zifuatazo kulipa ufanisi Shirika la Posta nchini na kuboresha huduma ya posta kwa wananchi

    UTANGULIZI Shirika la posta nchini kwa miaka mingi toka kuanzishwa kwake limekua na huduma za kusua sua huku kazi ya Usafirishaji vifurushi ikitawaliwa na Sekta binafsi huku Serikali ikipoteza mapato mengi katika eneo hilo wakati huo huo wananchi wengi wakitumia gharama kubwa kupata huduma hizo...
  14. D

    SoC04 Taifa la Kesho

    TAIFA LA KESHO Nchi yangu Tanzania naipenda kwa moyo wangu wote , sitakusahau Tanzania nitakapokuwa popote duniani . Tulipotoka ni mbali sana na bado tunasonga mbele. Najivunia amani, umoja na upendo hii ni fahari ya nchi yangu. Pamoja na hayo bado tunahitaji mabadiliko makubwa sana ili tuweze...
  15. Mturutumbi255

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Sekta ya Afya kwa Miaka 5- 25 ijayo

    Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, tunapoiangalia Tanzania tuitakayo, sekta ya afya inapaswa kuwa mojawapo ya maeneo yenye kipaumbele cha juu. Tanzania yenye afya bora inawezekana kwa kupitia maono ya kibunifu na mikakati madhubuti inayoweza kutekelezeka kwa kipindi cha muda wa kati na mrefu...
  16. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Mikakati thabiti inayotekelezeka ya kupunguza tatizo la ajira hapa nchini

    UTANGULIZI Changamoto ya ajira hapa nchini imekua tatizo linalokua kwa kasi huku vijana wakiwa ni waathirika wakubwa. Hivyo serikali iweke mikakati madhubuti itakayotokelezeka haraka ili kupunguza changamoto hii. Katika mada hii tutaona mambo mbalimbali yanayochangia ongezeko la ukosefu wa ajira...
  17. Nsennah

    SoC04 Kuwa na mhimili wa bunge usiofungamana na mhimili mwingine wa serikali

    Mwanzo Tanzania ni nchi ya muungano wa kipekee duniani ambayo serikali yake inaundwa na mihimili mitatu yaani Serikali kuu, Bunge na Mahakama. Bunge kama chombo mhimu cha kutunga sheria na kuisimamia serikali ili kuleta tija na msitakabali mkubwa wa maendeleo ya nchi linapaswa kuwa ni sauti ya...
  18. C

    SoC04 Elimu ya kidijitali na nafasi ya vijana katika Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Jamii ya watanzania tunaelekea katika mambo yanayobeba mustakali wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. kipindi cha mwaka 2024-2025 tutashiriki mambo makuu matatu ambayo yatabeba hatma zetu kama taifa kuanzia miaka 5 na kuendelea, yaani miaka25. Kwanza mchakato wa kupata dira ya...
  19. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja mbalimbali

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku tukidumisha amani aliyo tujengea Baba wa taifa Hayati Mwl Nyerere, hivyo basi yatupasa ya sisi wananchi...
  20. Mama Mwana

    SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
Back
Top Bottom