UTANGULIZI
Wengi tunajua uwanja wa michezo ni eneo la uwazi, na mara nyingi huwa tambarare. Mashindano tofauti hufanyika, kama vile mchezo wa mpira wa miguu, mpira wa kikapu na hata mbio za riadha. Ni katika sehemu hii wachezaji hunadi ujuzi na uwezo unaoweza kuwafanya waibuke kidedea kwenye...
UTANGULIZI
Kama ilivyo duniani kote, Serikali ni mfumo wa Mamlaka unaoongoza wananchi. Serikali zote duniani ndiyo huwa na Mamlaka ya nini kifanyike na nini kisifanyike nchi husika kwa kutunga Sheria. Kabla ya Sheria kuwepo, muswada hutungwa kupitia Bunge na kupitishwa ili...
Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla.
Leo naongoe na wanawake, jeshi kubwa, nina swali kwenu je, mmeshaanza kuandika, mmeshiriki shindano na kupost...
1. Tanzania Tuitakayo Ni Lazima Kwanza Itoke Kwenye Mifumo Tegemezi Ambayo Bado Inatufanya Tuwe Watumwa Kifedha, Kifikira Na Mpaka Kutufanya Kuwa Wabinafsi;
Mfano; Mambo Ya Kukopa Fedha Kwenye Benki Ya Dunia Na Nchi Zilizoendelea Ambayo Mikopo Yenyewe Haina Afya Katika Maendeleo Ya Taifa Na...
Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba.
Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25.
1. Viongozi kuwa wazalendo...
Utangulizi:
Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
Habari Wanajukwaa wote!
Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa.
Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:-
1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
Retrieved from: 12 Benefits of Virtual Reality In Classroom with Examples
Once upon a time, in the sprawling plains of Tanzania, nestled between the majestic Kilimanjaro and the vast Serengeti, there existed a school unlike any other. This was not just any school; it was a beacon of...
Nafahamu ipo Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikishughulikia masuala mbalimbali yahusuyo jamii, jinsia za vijana wakike na wakiume, changamoto za wanawake na wanaume, wazee pamoja na makundi maalum. Liakini bado haitoshi wizara hii kubeba mambo yote hayo.
Taifa...
Miongoni mwa nchi zenye matumizi makubwa ya mitandao Afrika mojawapo ni Tanzania, ni nchi ambayo matumizi ya intaneti yanakua kwa kasi sana.
Tunaweza sema utandawazi unakua kwa kasi kubwa mno, kiasi kwamba karibu au zaidi ya nusu ya watu wake wanatumia intaneti
Hata hivyo si matumizi pekee tu...
Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25
#### Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, tunakusudia kujenga taifa lenye maendeleo endelevu, uchumi imara, huduma bora za kijamii, na mazingira...
Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu.
Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili waanze kupewa mafunzo kulingana na sekta elekezi. Mfano, mwenye kipaji cha mpira apewe elimu ya...
Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania.
Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
Tanzania ni nchi yenye Mipango, sera na mikakati mizuri lakini mipango hiyo huwa inatekelezwa chini ya kiwango au kutofikiwa kabisa mfano ukisoma dira ya maendeleo iliyo andikwa mwishoni mwa miaka ya tisini ikilenga mpango wa maendleo wa miaka 25 kutoka 2000 hadi 2025 mipango ile kama...
In the heart of East Africa lies a nation brimming with potential, Tanzania. The vision for Tanzania's future, "Tanzania Tuitakayo," is a story of transformation and progress across various sectors. From education and health to technology, economy, environment, and infrastructure, this narrative...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.