1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi.
2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake(madini ya kipekee kama Tanzanite, Dhahabu, Almasi), vivutio vya utalii kama vile...
Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali:
1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari.
2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
Serikali ya Tanzania,
Lini tutaweka nia
Kuhakikisha tunachodhamilia, kinatokea?!
Rushwa ni adui wa maendeleo
Anaitesa Tanzania mawio mpk machweo
Waulize mama ntilie wakujibu kwa kilio,
Halafu huwezi amini inawapendelea wenye vyeo.
Rushwa ni janga
Hatutaweza kujenga
Tukiendelea kujiganga...
Overview
Tanzania has many natural resources and cultural heritage, so it is confident enough to be a center of prosperity and development in future years. The phrase "Tanzania Tuitakayo” sums up the vision of the nation on a better tomorrow characterized by quality education, healthcare...
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika historia yake, iliyojaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kinara wa ustawi wa kiuchumi barani Afrika. Ili kutimiza dira hii, ni lazima tukumbatie sera za uchumi zinazofikiria mbele na mageuzi ya kiubunifu ambayo yanaweza kutekelezwa ndani ya miaka 5...
Utangulizi
Kwenye ukuaji wa taifa lolote lile duniani, linahitaji kuwa na viongozi wenye maono mapana kwa taifa lao. Pia kuwa na sera dhabiti kwa taifa lao ni muhimu, mfano kwenye elimu, afya na nishati.
Elimu
Elimu ndio msingi mkubwa kwa ukuaji wa taifa lolote. Ili taifa liweze kukua kiuchumi...
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
Ili kutokomeza rushwa na kujenga TANZANIA TUITAKAYO ni lazima tuzingatie sekta zote katika nchi yetu zinatoa huduma bora na stahiki kwa usawa pasipo rushwa kwa wananchi wote.
Zifuatazo ni njia za kupambana na rushwa katika sekta mbalimbali nchini ili kufikia TANZANIA TUITAKAYO nazo ni;
i...
Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
Utangulizi.
Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi katika sekta zote za uchumi na jamii. Maendeleo haya yanaweza kusaidia kuboresha hali ya maisha ya...
Andiko la Mabadiliko kwa Miaka 5-25 Ijayo kwenye Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi kwa Ajili ya 'Tanzania Tuitakayo'
Utangulizi
Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayozorotesha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu...
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri tulionao au utumike kwa maslahi mapana, ili keki ya taifa iwafikie watanzania wote.
Madini ya Tanzania...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto kadhaa linapokuja suala la kuanzisha biashara. Changamoto hizi zinajumuisha urasimu wa kisheria, upatikanaji wa vibali vya biashara, na mazingira magumu ya upatikanaji wa fedha na mitaji. Kwa bahati nzuri, kuna fursa...
Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la...
TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 HADI 25 IJAYO
Ndoto yetu kwa Tanzania katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo ni kuwa taifa lenye maendeleo endelevu, ustawi wa jamii, na mazingira endelevu.
Kupitia mkakati wa maendeleo endelevu, tunalenga katika maeneo kadhaa kwa lengo la kuleta...
Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
UTANGULIZI:
Hospitali Maalum ni Hospitali zinazotoa huduma ya kimatibabu na kiuguzi kwa ugonjwa au tatizo fulani pekee mfano ugonjwa wa moyo, saratani, macho, akili, pumu n.k. Nchini Tanzania tunazo Hospitali Maalum 5 tu za Kitaifa kama vile Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) yenye kutibu...
Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia ya vita vya kwanza ya dunia.
Hii ndiyo hupelekea watoto kuishia kusoma vitu ambavyo havipo kwenye...
"Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu"
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.