tanzania tuitakayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo yamejikita katika nyanja za Elimu, Afya, Teknolojia, Uchumi, Mazingira na Miundombinu

    Maono yangu kuhusu TANZANIA TUITAKAYO yamejikita katika nyanja 6 ambazo ni elimu, afya, Teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. 1. ELIMU. -serikali kuendeleza mchakato wa elimu ya watu wazima (MEMKWA) hasa vijijini. -serikali kutoa vifaa shuleni vya TEHAMA vya kufundishia na kujifunzia...
  2. G

    SoC04 Tanzania tuitakayo na safari ya kuifikia nchi ya ahadi

    Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo tarehe 26/04/1964. Muungano huu ulifanyika kwa Jamhuri ya watu wa Tanganyika na Jamhuri ya watu wa...
  3. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mipango Ya Kipekee Ya Kuboresha Elimu

    Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
  4. B

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Uwekezaji kwa vijana kuelekea kesho ya taifa letu bora na imara

    Ukuaji wa taifa lolote wenye kuleta tija unategemea nguvukazi kubwa sana ya vijana wake. Mathalani, rasilimali hii adhimu ya taifa imejikuta ikiachwa nyuma sana katika hatua mbalimbali za kuwezesha kunyambua tija mbalimbali zinazowazunguka na kuweza kufikia lengo la ukuaji wa taifa kwa ujumla...
  5. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Kuimarika na Kukuza Uchumi

    Makala haya yanaangazia suluhisho la kina na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei, kukuza uchumi thabiti na unaostawi katika kipindi cha miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Suluhu za Muda Mfupi (Miaka 5 Ijayo) 1. Kuimarisha Sera ya Fedha-(Kibenki) Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupitisha sera...
  6. P

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Kukuza Uchumi Shirikishi na Endelevu

    1. Kukuza Uchumi Shirikishi na Endelevu Dhana: Viongozi wanapaswa kuzingatia kukuza uchumi unaonufaisha wananchi wote na unaotegemea rasilimali endelevu. Mikakati: Kuwekeza katika sekta za kilimo, viwanda, na utalii kwa njia endelevu ili kuunda ajira na kuongeza pato la taifa. Kuimarisha...
  7. I

    SoC04 Tanzania Tuitakayo Katika Mapinduzi ya Nne ya Viwanda (Akili Bandia)

    Historia ya Mapinduzi ya Viwanda Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
  8. Hassan Mambosasa

    SoC04 Tanzania tuitakayo

    TANZANIA TUITAKAYO Asubuhi na mapema unaamka ndani ya nyumba yako ya wastani, kutokana na kipato chako kutokuwa toshelevu. Homa nayo inakushika, unasita kwenda mihangaikoni siku hiyo. Suluhu pekee ni kuelekea hospitali, uende walau ukachunguzwe na kujulikana ni kipi kinachousibu mwili wako...
  9. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika mazingira

    Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi ukizingatia binadamu tunakula mazao ya ardhini, tunakula wanyama wanaokula vya ardhini. Kitendo cha...
  10. sba

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya afya kwa ustawi wa maendeleo ya taifa letu na wananchi kwa miaka 10 ijayo

    Ili kuweza kufikia maendeleo Mazuri kama taifa afya ni kitu ambacho kinapaswa kuangaliwa kwa upana zaidi yafuatayo ni mawazo yangu juu ya maendeleo ya taifa kwa miaka kumi katika sekta ya afya 1. Kuajiri wataalam wengi wa afya kwenye vituo vyote vya serikali kuanzia dispensary hadi hospital...
  11. L

    SoC04 Tanzania tuitakayo iwe imepiga hatua katika suala la rasilimali, maliasili na utalii

    Kihistoria Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili uliofanyika mwaka 1964 ukijumuisha (Tanganyika chini ya mwalimu Julius Nyerere na Zanzibar chini ya Amir Abeid Karume ),kwa umoja wao waliweza kuunda serikali ya Jamhuri wa Muunguuno ambayo ndio nchi tuliyoko sasa isiyo na mipaka wala itikadi za...
  12. P

    SoC04 Tanzania tunayoitaka ni ile yenye maendeleo endelevu katika nyanja zote muhimu

    TANZANIA TUITAKAYO mwandishi :Nkwabi Laurent Elias Utangulizi Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuwa taifa lenye maendeleo endelevu katika nyanja zote muhimu kama elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, miundombinu, na siasa. Ili kufanikisha hili, tunahitaji kuwa na...
  13. Z

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: A Prosperous and Sustainable future

    "Tanzania Tuitakayo: A Prosperous and Sustainable Future" It is the year 2039, and Tanzania stands as a beacon of progress and innovation in East Africa. The country has undergone a remarkable transformation, driven by a collective vision of a prosperous, sustainable, and equitable future for...
  14. realMamy

    SoC04 Tanzania tuitakayo iwezeshe wananchi kujiamini

    TANZANIA TUITAKAYO IJIKITE ZAIDI KWENYE ELIMU YA VITENDO. Tanzania kama ilivyo kuanzia ilikotoka hadi sasa iliandaliwa kwa misingi bora na imara ingawa kuna watu wachache wasio waadilifu wanaharibu misingi hiyo. Yafuatayo ni mambo ya Muhimu yanayoweza kujenga Tanzania iliyo bora endapo...
  15. BROADCASTER GIDEON

    SoC04 Tanzania itasimama, Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  16. Z

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Japo's Dream for a Brighter Future

    Japo sat on the veranda, sipping his morning chai and gazing at the majestic snow-capped peak of Kilimanjaro. He dreamt of a Tanzania different from the one he knew - a Tanzania Tuitakayo, a Tanzania We Want. A land where opportunity bloomed like the bougainvillea cascading down his neighbor's...
  17. BROADCASTER GIDEON

    SoC04 Tanzania itasimama ni jukumu la kila mmoja wetu kuisimamisha Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  18. Y

    SoC04 Tanzania tuitakayo by Yasam Legend

    Ni mengi yapo katika jamii yetu( nchi yetu) ambayo ni nyenzo kubwa katika maendeleo ya nchi yetu na jamii kwa ujumla. Kuna vipengele mbali mbali kama uchumi, sayansi na teknolojia, siasa, afya na mengi neyo mengi. Kwa upande wangu nitaelezea baadhi kulingana na upeo wangu na maono yangu...
  19. B

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maoni ya kuboresha na kukuza elimu Tanzania

    MAONI KATIKA KUBORESHA NA KUKUZA ELIMU TANZANIA (Nini kifanyike ili kuboresha na kukuza Elimu yetu ya Tanzania ?) Naitwa Batson R. Msigwa kutoka Njombe-Tanzania. Mimi ni mhitimu Kutoka Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam, niliyesomea Ualimu katika tawi la Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa-Iringa...
  20. Mr Looser

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Rushwa na Ubadhirifu

    Mapendekezo ya Mabadiliko Katika Kudhibiti Rushwa na Ubadhirifu Nchini Tanzania Katika Miaka 25 Ijayo Rushwa na ubadhirifu ni changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu kuchukua hatua madhubuti na za...
Back
Top Bottom