Tatizo kubwa linaloikabili taifa letu pendwa la Tanzania ni ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana na wimbi kubwa la umasikini hivyo katika juhudi za kuelekea Tanzania tuitakayo ifikapo mwaka 2040, ni muhimu kuweka mikakati thabiti ya kuanza kutekelezeka hivi sasa ili kutatua tatizo la umasikini na...
Kuboresha huduma za afya ya uzazi na kupunguza kabisa vifo vya mama na mtoto ifikapo mwaka 2035, Tanzania lazima ijikite katika mikakati muhimu sita. Mikakati hii inalenga kushughulikia changamoto kuu katika mfumo wa afya na muktadha mpana wa kijamii, lengo likiwa ni kuhakikisha kila mwanamke...
Tanzania inaweza kuwa nchi yenye mafanikio makubwa miaka 5-25 ijayo kutokana na sababu kadhaa ambazo zikifanyiwa maboesho kidogo zinaweza kuleta maendeleo makubwa sana hapa nchini.
Kwanza kabisa tunazo rasimali asilia kama vile madini, gesi, ardhi yenye rutuba. rasilimali hizi endapo zitatumika...
Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi
1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki:
-Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania
Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi wengi na wenye weledi wa hali ya jui endapo mipango madhubuti itachukuliwa hatua
Ili kuujenga...
TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 KATIKA MAENDELEO YA KIUCHUMI
Tanzania ni nchi yenye uchumi wa kati-chini (middle lower income) kulingana na tafiti na taarifa ya Benki ya dunia ya tarehe 1 julai, 2020, hiyo ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye uchumi wa kati. Ambapo sekta ya kilimo inachangia 26%-30% ya Pato la taifa. 60%-70% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Tanzania imebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya watu, idadi kubwa ikiwa ni vijana ambayo ndiyo nguvu kazi ya taifa. Pia...
Tunapofikiria mustakabali wa Tanzania, moja ya malengo yetu makubwa ni kuinua Kiswahili hadi hadhi ya lugha ya kimataifa. Mpango huu wa kina unaainisha mipango ya kimkakati itakayotekelezwa katika kipindi cha miaka 25 ijayo, ikigawanywa katika awamu nne. Maono yetu ni kufanya Kiswahili kisiwe tu...
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite.
TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
Utangulizi:
Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
Elimu ni kurithisha au kuhamisha maarifa, ujuzi, taarifa au taaluma kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Malengo ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania kuanzia 2025 adi 2050 yawe ni
i. Kurithisha au kutoa maarifa na ujuzi kwa vijana yatakayoweza kuwakwamua katika lindi la umaskini na waweze...
Na Da Vinci XV
Chanzo: Forbes
Wasalaam
Wahenga walisema wakati ni ukuta.
Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
TANZANIA TUITAKAYO: MAONO YA KIBUNIFU KWA MIAKA 5, 10, 15 HADI 25 IJAYO
Utangulizi
Tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi na watu wenye ari ya maendeleo, linahitaji kuwa na maono ya kibunifu na mikakati madhubuti ili kufikia maendeleo endelevu. Katika kipindi cha miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo...
Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
UTANGULIZI: Rushwa imekuwa na maana nyingi kutokana na jamii tofauti ulimwenguni. Kwa Tanzania tunatafsiri Rushwa kuwa ni Kitu Chochote cha thamani ambacho mtu hutoa au kupewa ili kutoa upendeleo katika huduma au ni matumizi mabaya ya ofisi za umma kwa maslahi binafsi.
Kwa tafsiri hii binafsi...
STORIES OF CHANGE 2024
TANZANIA TUITAKAYO
WAJIBU WA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWA JAMII - (TRAFFIC POLICE PUBLIC LIABILITY)
Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani linapaswa kuboreshwa ili wawezeshwe kutoa huduma zaidi ya wanazotoa kwa sasa. Tunawaona wakiongoza magari, kukagua...
Wakati Tanzania inapokimbizana na ukuaji wa uchumi, tunapendekeza dira ya taifa ambalo linaweza kutumia vyema mgao wake wa kidemografia, kuunda jamii yenye ustawi, endelevu na jumuishi. Dira hii, "Tanzania Tuitakayo," inaelezea mkakati wa kina wa kuleta mabadiliko katika nchi yetu katika kipindi...
Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.