Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wasomi wasio na ajira tangu mwaka 2015 hii Kutokana na sera na mabadiliko...
UTANGULIZI
Ili taifa lolote liendelee, suala la Ulinzi na Usalama ni moja ya jambo nyeti na muhimu sana , kwani limebeba dhana ya kimaendeleo kwa kuwalinda wananchi na mali zao pamoja na kudumisha Amani na utulivu katika jamii. Jukumu hili ni la Jeshi la polisi ndio hasa chombo kinachowajibika...
Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia:
1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani.
2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao.
3. Kusimamia vzr mapato ya serikali
4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa.
5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia...
UTANGULIZI:
Uzalishaji Wa Ndani ni Uzalishaji ambao ,unaohusiana Matumizi binafsi , ukuaji binafsi katika uwekezaji ,uwekezaji wa Serikali Matumizi ya Serikali Kutoka na kuingiza bidhaa ndani ya nchi Mfano: uwekezaji wa Serikali katika sekta na miradi mbali mbali Viwanda, biashara n.k ili...
Utangulizi
Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa wote. Maono haya yanachora taswira ya jinsi sekta ya afya inaweza kubadilika kwa miaka 5, 10, 15, hadi...
Utangulizi
Tanzania ina hazina kubwa ya maliasili na rasilimali watu ambayo inaweza kutumika kuleta maendeleo endelevu. Katika miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo, tunaweza kuona mabadiliko makubwa ikiwa tutaweka mkazo kwenye mazingira na uongozi bora. Hili andiko linaangazia maono ya kibunifu kwa...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo inapiga hatua katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama elimu, afya, madini, maji, utalii, kilimo, uvuvi nk.
Katika sekta zote hizo, sekta ya elimu imekuwa sekta mama kwasababu ndio imekuwa ikizalisha wataalamu wanaohudumu katika sekta zingine.
Mfumo wetu wa...
NATAKA TANZANIA IWE YA MAFANO DUNIANI (USHAIRI)
---------------------------------------------------
maono yalo moyoni, kichwani mwangu akili
asilimia Imani, naona hiyo fahali
Miji paka jijini, niona nzur Hali
naona nchi ijayo, mfano kwenye dunia
hii ndoto yangu pevu, kuona ikichipua
na tuli...
UTANGULIZI
-Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
1. Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili na urithi wa kitamaduni, ina nafasi kubwa ya kujiimarisha kiuchumi na kijamii katika miaka ijayo. Andiko hili linatoa mawazo bunifu juu ya jinsi Tanzania inavyoweza kufikia maendeleo endelevu kwa kuzingatia vipaumbele vya kiuchumi, elimu...
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya huduma mbovu kutokuwajibika kuombwa rushwa na kauli mbaya kutoka kwa watoa huduma katika maofisi ya umma.
Ipo haja ya serekali kuanzisha dawati la huduma kwa wateja na kutoa namba maalum kama ilivyo kwa mitandao ya simu ili wananchi waweze...
Elimu
Miaka 5: Kuongeza upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia, pamoja na ujenzi wa madarasa mapya ili kupunguza msongamano. Kuweka mfumo wa usambazaji wa vitabu na vifaa vya kisasa kama vile kompyuta na intaneti shuleni.
Miaka 10: Kuboresha mtaala wa elimu kwa kuingiza masomo ya...
Je! watanzania tunaowataka ni wa aina gani?
Majibu mepesi ni kwamba tunahitaji Watanzania wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwajili ya afya ya taifa lenye maendeleo.
Watanzania tunaowahitaji lazima wawe na afya bora, elimu na miundombinu rafiki kwenye...
1. Kama tunaitaji kusonga mbele kimaendele, Yani maendeleo ya inchi nikimanisha miundombinu ,afya ,ajila mawasiliano na maendeleo ya mtu moja moja tunaitaji wawakilishi wetu bungeni wawe ni watu wenye elimu kuanzia degree na kuendelea tunataka watu wanaoweza kuangalia mambo kwa upana wanao...
TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA.
Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya wizara ya mambo ya nje kinachowatafutia Wakenya kazi nje ya nchi ziwe za kuduma au za muda mfupi, hii...
Namuomba Mwenyezi Mungu ajaalie andiko hili liwe lenye manufaa kwa Nchi yangu na kwa kila atakayebahatika kulisoma.
Ama, kwakuwa ni mpenzi wa lugha asharafu ya kiswahili na pia ni Mtunzi wa mashairi, andiko langu ningependelea nilifungue kwa utangulizi wa shairi langu, lenye kichwa MPISHI...
UTANGULIZI
Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii:
Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
haki
huduma
ict
katika
kidijitali
kuimarisha
kutunga
matumizi
mtandao
sekta
sera
serikali
sheria
tanzaniatanzaniatuitakayo
tehama
tuitakayo
tunahitaji
usalama
uwezo
uzalishaji
viwandani
watumiaji
TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU.
UTANGULIZI.
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niwapongeze sana jukwaa la JAMII FORUMS, kwa kuanda shindano hili la kibunifu zaidi na lenye...
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote.
Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa namna yao ya pekee sana wanavyoelimisha jamii katika nyanja zote za maisha.
Tatu na mwisho...
Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini
Katika nchi yangu ya Tanzania, kuna hali inayozidi kuonekana ambapo serikali inatoa kipaumbele zaidi kwa maeneo ya mijini kuliko vijijini. Hii ni hali inayotia wasiwasi kwa sababu vijijini ndiko kunakotegemewa zaidi kwa maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.