Mara kadhaa kama jamii tumejikuta tukiwa na dhana mbaya sana kuhusu maafisa usalama hususani ni askari polisi, mgambo na kadhalika. Takwimu nyingi zimeonesha kuwa jamii haina imani kabsa na utendaji kazi wa askari polisi kwa kiwango kikubwa, jamii ina hofu ya ajabu sana ukizungumza kuhusu...
Katika Tanzania tuitakayo Serikali iboreshe katika sekta ya kilimo kwani ndio uti wa mgongo katika kuimalisha uchumi wa nchi yetu. Mambo yakufanyiwa kazi ni pamoja na:-
1. Kutoa elimu juu ya hatua zote za kilimo husika(tangu kuandaa shamba hadi kuvuna) kwa wadau wote wa kilimo.
2. Kuboresha...
Salaam Wanajamvi
Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa tuliyonayo kwa wakati huu ni tatizo sugu la ajira ambalo ndio chachu ya kukuza uchumi binafsi na taifa...
Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu Tanzania tuitakayo yanayoweza kutekelezeka ndani ya Miaka 5 hadi 25 ijayo. Nmemeandaa mawazo kadhaa...
MTU MMOJA TU ASIYE NA SIFA ANAPOANDIKISHWA KUPIGA KURA ANAWEZA KUVURUGA UCHAGUZI MZIMA
Utangulizi
Kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya taifa ya uchaguzi, sura ya 343 pamoja na kifungu cha 15(1) cha sheria ya uchaguzi ya serikali za mtaa, sura ya 292, ili mtu aweze kuandikishwa kuwa mpiga...
KWANINI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WATANZANIA WASIJIANDIKISHIE NIDA
Kubadilisha mavazi, Tabia, Magari, Nyumba na Majumba sio dhambi na sio kosa kisheria kama vitu vyote vyako hivyo kubadilika sio tatizo basi ni kheri tubadilishe Tanzania ya sasa kwa mafanikio ya baadae.
Kutangaza nafasi...
UTANGULIZI
Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
Tanzania kama nchi huru na inayoendelea ina Mambo mengi ya kuzingatia ili tufike mbali na tuwe na taifa bora , na nitaangazia katika nyanja kuu muhimu ili kama taifa tufanye mabadiliko.
1. KATIBA MPYA YA WANANCHI
Katiba ndo dira na ramani katika nchi yoyote duniani ambayo kila mtu anafata...
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu
SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA
Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa sana kwa mujibu wa Tovuti rasmi ya Tanesco imeweka gharama za kuunganishiwa umeme ni kama ifuatavyo...
Kwa kiasi kikubwa haiwezi kupingika ya kuwa ili tuwe na Tanzania bora tunayohitaji lazima tuweke nguvu kubwa katika swala zima la malezi ya watoto na vijana kwani wao kwa kiasi kikubwa ndio wanaongoza katika suala zima la ujengaji wa nchi.
Kama Tanzania ili tuendelee kuwa na nchi nzuri na...
Hata sidhani kama story itatosha kitabu, ila kiuhalisia mitandao ya kijamii na teknolojia kiujumla imebadilisha dira nzima ya Tanzania. Hivyo kupelekea tamaduni na mila halisi walizoacha kina babu zitolewe au kuharibiwa kabisa. ANALOGIA laiti tungeiboresha na mfumo mpya yq DIGITALI tungeweza...
Tanzania, tuitakayo kwa miaka ishirini na mitano (25) ijayo;
SIASA;
1.Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki,
Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi za kupigia kura, Wananchi wanaweza kupiga kura kwa njia ya simu zao za mkononi...
Utangulizi:
Katika ulimwengu uliounganishwa, mawasiliano bora ni muhimu kwa ajili ya kukuza mahusiano ya kimataifa na kukuza fursa za maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kielimu, afya, teknolojia, sayansi na michezo. Tanzania, kama mataifa mengine mengi, inatambua umuhimu wa kutumia majukwaa...
UTANGULIZI
Urithi wa Jeshi la Polisi wa kikoloni umekuwa na athari kubwa katika utendaji na muundo wa jeshi la polisi la Tanzania. Wakoloni walianzisha mtindo wa polisi ambao uliundwa kwa misingi ya kudumisha udhibiti na kukandamiza upinzani dhidi ya ukoloni ili kutekeleza sheria za kikoloni...
Tanzania kama zilivyo ichi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili kuhakikisha maendeleo endelevu na mafanikio ya wananchi wake, kwa ushirikiano wa serikali, sekta...
TUWEZESHE VIJANA KIUJASIRIAMALI KWA UZOEFU NA UJUZI
Tunaeza kufikia Tanzania tuitakayo kwa kumuezesha kijana tangu akiwa mtoto kiujasiriamali kwa uzoefu na ujuzi.
Nchi yetu ni miongoni mwa nchi zinazo jaribu kusaidia vijana kiujasiriamali kwa kuwezesha vikundi vidogo vidogo vya ujasiriamali kwa...
NA ALPHA NUHU
KUANDIKA makala maalum kuhusu “Tanzania Tuitakayo” miaka 5 au 25 ijayo, ni kujadili mada nzito na pana inayohitaji maelezo marefu ya kina yanayoweza kutosheleza hata utunzi wa kitabu.
Mada kama hii ina mvuto kwa wasomaji kwa sababu imebeba matumaini ya Watanzania kuiona nchi yao...
Mto ni mwendo wa asili wa maji ambao hufuata njia yake kutoka sehemu za juu za ardhi (kama vile milima au vilima) kuelekea sehemu za chini, kama vile maziwa au bahari. Maji hufuata mtelemko kutoka mahali pa juu hadi chini, na njia hii ya asili ya kusafirisha maji ndiyo inayounda mito.
Mito mara...
UTANGULIZI
Huduma za afya nchini Tanzania zimekuwa za mbovu hali ambayo inapelekea wananchi wa kawaida kulalalamikia serikali kila mara na wengine kushindwa kuhudhuria shughuli za kimaendeleo kutokana na ukosefu wa huduma bora za afya kutowafika katika baadhi ya maeneo nchini. Baadhi ya kero...
Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi.
Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa letu kutokana na viongozi na wafanya kazi kukosa sifa nilizozitaja hapo juu lakini chimbuko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.