tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania

    Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania Organization: Unicef Country: Tanzania Field location: Dodoma, Tanzania Office: UNICEF in Dodoma Follow @UNjobs Closing date: Sunday, 31 January 2021 Individual Contractor - Construction Site Supervisor Job no: 537608...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

    Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe. Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua...
  4. JamiiForums Tanzania Majina ya waliochukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais, Makamu wa Rais na Wajumbe Wawakilishi Wanawake wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT)

  5. JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

  7. JamiiForums Tanzania CCM hoyee: Kituo kipya cha Mabasi Ikungi

    Tuliahidi ... tunatekeleza
  8. JamiiForums Tanzania SADC yapoteza mawaziri 10 kutokana na Covid19, Tanzania tumejipangaje?

    Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri watatu. SADC inajumisha nchi 16 ikiwemo Tanzania, majirani ugonjwa umetamalaki na ni ugonjwa...
  9. JamiiForums Tanzania Unawakumbuka waandishi gani na vitabu vyao waliovuma Sana hapa Tanzania?

    Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache. Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili. Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika. Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

    25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona...
  11. JamiiForums Tanzania Austria: Azuiwa jijini Vienna akiwa na vinyonga 74 kutoka Tanzania

    Bado kuna watu wana ujasiri wa kusaliti malialisi za Taifa na uzalendo uliotapakaa kila idara ya chama, jeshi na mahakama ------------------- Mamlaka za Austria zimemzuia mtu mmoja katika uwanja wa ndege wa Vienna aliyekuwa akisafirisha vinyonga 74 wanaoaminika aliwachukua kutoka Milima ya...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

    Kuhusu Uraia wa Don Nalimison na maandalizi ya kitabu chake.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya Asasi za Kiraia kwa Tanzania

    AZAKI zinatoa huduma mbali mbali katika jamii ambazo zinalenga kuboresha maisha na kulinda haki za Watanzania. AZAKI zimekuwa sauti ya jamii na chachu ya mabadiliko ya kisera na mifumo mbali mbali ya nchi. Tofauti na makundi mengine AZAKI zimekuwa zikiibua changamoto katika jamii AZAKI zina...
  14. JamiiForums Tanzania Magari 24,521 yanaswa kwa malimbikizo ya faini barabarani Tanzania

    Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa amesema katika kipindi cha siku tano zilizopita, idadi ya magari 24,521 yamekamatwa kupitia oparesheni ya ukamataji wa magari yenye malimbikizo ya faini zinazotokana na makosa ya barabarani. Akizungumza na wanahabari...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nataka nihame Tanzania, Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi?

    Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia. Natanguliza shukrani zangu.
  16. JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania ni ya 73 duniani

    Kwa mujibu wa 'henley passport index' Passport ya Tanzania kati ya mataifa 219 imeshikilia nafasi ya 73. Orodha hii inaangalia uhuru wa kusafiri. Ukiwa na passport ya Tanzania mpaka sasa unaweza kusafiri kwenye nchi 70 bila kuhitaji visa au kupata visa pindi tu utakapowasili kwenye nchi husika...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

    Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  18. B

    JamiiForums Tanzania BRELA inakimbiza wawekezaji

    BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

    SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border. Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh. Njooni tuwape...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka gani hapa Tanzania inatoa 'Leaving Certificate' ya Darasa la Saba na Kidato cha nne kwa sasa?

    Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI) Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata. Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…