Hela ya kujiajiri huna lakini ya kukwea pipa unayo.Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi?
Singapore na Macau.Nchi ulizochagua ni zipi?
Najua ungeleta hiyo hoja. Hela ya kukwea pipa nayo sina ila nitafanya juu chini niipate. Tafadhali usiniulize kwa nini nisifanye juu chini nipate ya kujiajiri?Hela ya kujiajiri huna lakini ya kukwea pipa unayo.
Hivi nani kakuloga? Ningekuwa na uwezo nakusweka ndani wiki mbili akili zitakurudia
Jamaa Ni msomi Ila hana Sixth sense(common sense).Hela ya kujiajiri huna lakini ya kukwea pipa unayo.
Hivi nani kakuloga? Ningekuwa na uwezo nakusweka ndani wiki mbili akili zitakurudia
Ukishaipata jiajiri.Najua ungeleta hiyo hoja. Hela ya kukwea pipa nayo sina ila nitafanya juu chini niipate. Tafadhali usiniulize kwa nini nisifanye juu chini nipate ya kujiajiri?
Kwa nini nisitoboe mkuu?Dona na kazi ngumu ya kuponda kokoto kwa ajili ya miradi ya Magufuli inakusubiri Keko,Segerea au kwingineko!
Maana Julius Nyerere International Airport hutoboi!
Si uko na Deni la Helsb?Kwa nini nisitoboe mkuu?
Nimehangaika kwa muda mrefu sana. Acha niondoke nikafie kwenye ardhi ya watu wengine.Ukishaipata jiajiri.
Unataka utoroke umwachie nani matatizo ya nchi yako?
Hapana mie sijasoma kwa mkopo.Si uko na Deni la Helsb?
Ha ha ha....Hela ya kujiajiri huna lakini ya kukwea pipa unayo.
Hivi nani kakuloga? Ningekuwa na uwezo nakusweka ndani wiki mbili akili zitakurudia
Nje ya tatizo lako la uchumi nimeona una tatizo lingine la kisaikolojia. Pole sanaNimehangaika kwa muda mrefu sana. Acha niondoke nikafie kwenye ardhi ya watu wengine.
Laki saba na nusu inatosha kumfikisha anakowaza?Ha ha ha....
Mkuu yeye anaangalia mbele zaidi...Ana dola mia tatu itamtosha nauli...bora akafie mbele kuliko Tz hiyo laki saba yake akizubaa itaisha yote na hali itakiwa mbaya.
Unless umshauri laki saba na nusu aliyonayo anaweza kufanya project ipi ya kujiajiri?
Shida siyo elimu ,Shida Ni elimu ipi.Kumbe Elimu pekee haitoshi kumfanya mtu atoboe kimaisha na kushia kuwaza kuikimbia nchi.
Naishauri Serekali kama haiwezi kuajiri wahitimu wengi, itoe mikopo kwa wahitimu wa vyuo pale wanapomaliza chuo ili wapate mitaji ya kujiajiri na sio mikopo ya kuwasomesha.
Uliposema ukafie mbele na ukataja Makau nikajua tayari umeamua kubeba "poda" maana hujasema huko una deal gani!Kwa nini nisitoboe mkuu?