The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Uzi mzuri huu ngoja ni subscribe hapa.. Mkuu pambana achana na iyo miluzi utapotea ukiiskiliza
Walioko kule wanateseka mkuu? Una ushahidi?Nakushauri hiyo pesa ya tiketi ya ndege ni bora ukaitumia kama ntaji wa kuanzisha banda la chipsi mkuu. Huko utaenda kuteseka bure
Nani alizaliwa kutatua matatizo ya nchi yake wakati yeye mwenyewe akiwa maskini? Mtu ambaye hana uwezo wa kujiwezesha yeye na familia yake unataka aisaidie nchi kwa lipi.Ukishaipata jiajiri.
Unataka utoroke umwachie nani matatizo ya nchi yako?
Hapana mkuu, sio kubeba poda. Nataka nikasake life kihalali kabisa. Nikikosa kazi ya kufanya bora nifie tu huko kuliko kurudi bongo.Uliposema ukafie mbele na ukataja Makau nikajua tayari umeamua kubeba "poda" maana hujasema huko una deal gani!
Kama unakusudia kubeba "poda" hutoboi lazima ukale Dona na kazi ngumu Keko,Segerea au Kwingineko!
"SUKUMA NDANI"Hela ya kujiajiri huna lakini ya kukwea pipa unayo.
Hivi nani kakuloga? Ningekuwa na uwezo nakusweka ndani wiki mbili akili zitakurudia
Kubeti anatafuta odds mbili anaweka laki tano inakuja milioniHa ha ha....
Mkuu yeye anaangalia mbele zaidi...Ana dola mia tatu itamtosha nauli...bora akafie mbele kuliko Tz hiyo laki saba yake akizubaa itaisha yote na hali itakiwa mbaya.
Unless umshauri laki saba na nusu aliyonayo anaweza kufanya project ipi ya kujiajiri?
mkuu kwa sasa hivi dunia imebadilika sana kila sehemu kuna ugumu wake. Just imagine Tanzania ulipozaliwa na una ndugu zako karibia kila mkoa unapaona pagumu je uko singapore ambako hata kiswahili hakizungumzwi 8takuwajeWalioko kule wanateseka mkuu? Una ushahidi?
Nenda singapore.Najua ungeleta hiyo hoja. Hela ya kukwea pipa nayo sina ila nitafanya juu chini niipate. Tafadhali usiniulize kwa nini nisifanye juu chini nipate ya kujiajiri?
Okay, shukrani mkuu. Unaweza ukaelezea kidogo kuhusu hizo point ulizozitaja?Nenda singapore.
Macau utaolewa na hio rangi yako ndio utabaguliwa hadi ukumbuke kwenu koromije
Wewe kijana ukipewa u DC kwa 'bahati mbaya' utasumbua sana watu.Hivi nani kakuloga? Ningekuwa na uwezo nakusweka ndani wiki
Mkuu hutaki nchi ujenge weye halafu aje aipake rangi?😂😂😂Ukishaipata jiajiri.
Unataka utoroke umwachie nani matatizo ya nchi yako?
Usichukulie kila kitu serious mkuuNani alizaliwa kutatua matatizo ya nchi yake wakati yeye mwenyewe akiwa maskini? Mtu ambaye hana uwezo wa kujiwezesha yeye na familia yake unataka aisaidie nchi kwa lipi.
Kwanza anaweza kwenda nje na akaisaidia nchi kuliko jobless waliojazana ndani. Akitoboa uko akarudi kuwekeza si anawasaidia wengine.
Hizi ni akili za kijamaa kwamba ukienda nje umekimbia nchi na sio mzalendo
Naongea tu mkuu mimi ni mtu mmoja mwenye huruma sanaWewe kijana ukipewa u DC kwa 'bahati mbaya' utasumbua sana watu.
Kwa kukusaidia tu, huko hakuna msosi wa buku jeroOkay, shukrani mkuu. Unaweza ukaelezea kidogo kuhusu hizo point ulizozitaja?
Mkuu umecommand sauti ya kimamlaka kama ya yule DC Jerry.Naongea tu mkuu mimi ni mtu mmoja mwenye huruma sana