- Thread starter
- #61
Shukrani mkuu. Unaweza kuweka nyama kidogo.Why usiende Bahamas?
Nako hakuna viza halafu karibu sana na Miami..
Macau nasikia kuna kazi nyingi since kuna casino nyingi hutashindwa
Shukrani mkuu. Unaweza kuweka nyama kidogo.Why usiende Bahamas?
Nako hakuna viza halafu karibu sana na Miami..
Macau nasikia kuna kazi nyingi since kuna casino nyingi hutashindwa
Mkuu mie ni mhasibu mwenye cpa. Unadhani pamoja na elimu yangu nitakosa kazi?Unataka kwenda kufanya nini huko na Hamna kazi kwa wageni wasio na vinakua vya kuishi maana wewe visa tu ya miezi mi3 ikiisha bs tena either utoke au ushakua overstay person ukidakwa imekula kwako hizo sehemu ulizotaja sahau kupata kazi hata za Hanja Hanja Kama Europe au Amerika
Mkuu unaweza kuweka nyama kidogo ili kunipa mwanga.Macau si nchi na kifupi tu ndugu Macau hutatoboa yaani hutafika hivi hivi
wewe ndo una mawazo ya kimasikini na kifukara kabisa. mtu ambaye unazikimbia changamoto badala ya kupambana nazo utaishia kuwa masikini mpaka kufa kwako. There is no easy way to successMawazo ya kimasikini
Weka nyama kidogo mkuu.
Mkuu kwautafiti wangu mdogo nafikiriMkuu mie ni mhasibu mwenye cpa. Unadhani pamoja na elimu yangu nitakosa kazi?