tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume ya Uchaguzi ya Tanzania haijandaa karatasi zenye majina ya wagombea za kupigia kura? Au zimeandaliwa za namna nyingi?

    Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wakenya waionea huruma Tanzania, jameni tuna mengi ya kushukuru

    Ni dhahiri kwetu hapa Kenya tuna changamoto zetu, hamna taifa lisilokuwa na kasoro, pia tuna migawanyiko yetu na mara nyingi huwa tunakubali kutokubaliana, ila kwa wenzetu Tanzania ukifuatilia siasa zao, unajiuliza mbona waharibu hela nyingi hivyo kufanya kampeni za maigizo zisizokua na umuhimu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Polisi hawapaswi kuuunganisha wahalifu na kabila wala chama chao cha siasa, waache mara moja tabia hii mbaya

    Kuna mambo mengi polisi wa Tanzania wanatuhumiwa kukosa ujuzi wa kazi zao (professionalism) na hata kuwepo kwa madai kwamba tatizo la polisi wetu ni kwamba wengi wao ni wale ambao hawakuwa na matokeo mazuri shuleni. Labda ni kweli. Na labda kuwepo kwa uwezekano huu ni pale ambapo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe na dhana ya vyama mamruki, Kweli Tanzania vipo?

    Kimantiki maelezo ya mh, Mbowe wakati akitoa msimamo wa chama cha CHADEMA kuhusiana na kusimamishwa kwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho mh, Tundu Lisu na kamati ya maadiri ya tume ya taifa ya uchaguzi, Mbowe amevirushia dongo vyama ambavyo viliunga mkono kusimamishwa kwa mgombea wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

    Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza mambo ya leo, kesho itajulikana ikifika. Shida kwa watu wengi, bado huduma muhimu ( chakula...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti yataka Uchaguzi wa Tanzania uwe na uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani

    Kuelekea uchaguzi baadae mwezi huu nchini Tanzania, kumekuwa na mashambulizi dhidi ya upinzani na sauti za kiraia, kizuizi kwenye vyombo vya habari na mapungufu kwenye uhuru wa wananchi. Kunatakiwa kuwepo uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani kuendelea mbele. ===== Updates from The U.S...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kilema cha maisha kwa vijana wa Tanzania

    FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU! Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini. Sheria...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania "Rationality" ya wapiga kura Tanzania inashangaza

    Hivi karibuni katika mazungumzo yangu na marafiki zangu ambao ni watumishi wa umma niliwauliza kuhusu mtazamo wao kuhusu mambo yafuatayo ndani ya muktadha wa kampeni za uchaguzi mkuu. Mambo hayo ni (a) Umuhimu wa katiba mpya (b) Maslahi ya watumishi wa umma. Jamaa hao wote walikiri kwamba...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania Elections Watch yaiandikia barua NEC kutokana na kongezeka kwa uvunjifu wa amani

  13. JamiiForums Tanzania Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop. Kucheza na nembo za taifa sio jambo nzuri kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona. Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hasemi ukweli kuhusu wazee Tanzania

    Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote! Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura! Kuna matatizo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Fomunyo aitaja Tanzania kama miongoni mwa nchi ambayo demokrasia yake imeteteleka

    Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mfano unaokatisha tamaa ya Afrika kunyanyuka

    Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…